Spika mpya

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
3,967
3,780
Je huyu mama kapitishwa na ccm kwa kuwa ni mbabe na dikteta kama alivyosema kwenye hotuba yake au kuna sababu nyingine zaidi ya hii?
 
Toka mwka 1975 yuko bungeni bado huamini kama anaweza kuongoza Bunge?
 
Toka mwka 1975 yuko bungeni bado huamini kama anaweza kuongoza Bunge?
It doesn't matter. Kama ingekuwa hivyo basi angepewa kingunge Ngombale, John Malecela au hata Basil Mramba.
Turudi kwenye swali la msinge je amepewa kwa sababu ya udikteta wake?
 
With 35 years of experience si haba ila kwa kipindi chote icho hakutakiwa kuwa kama alivyo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom