Spika mama Anna Makinda akimbia Bunge

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Spika mama Anna Makinda akimbia Bunge, Kikao cha Bunge jioni kimeanza lakini cha kushangaza ni karibu nusu saa imepita lakini mama Anna Makinda haonekani.

Mama amepata tatizo gani?
 
Spika mama ana makinda akimbia bunge,kikao cha bunge jioni kimeanza lkn cha kushangaza ni karibu nusu saa imepita lkn mama ana makinda haonekani,mama amepata tatizo gani?
Amerudi bi kiroboto
 
Hatimaye ameingia kuna hoja ya kutengua kanuni ili wakutane jmosi miswaada batili ipite
 
hqdefault.jpg
 
Jamani hv Spika anaposema NAFIKIRIA WALIOAFIKI WAMESHINDA ANAMAANISHA NINI HIVI KUMBE BUNGENI HOJA ZINASHINDA KWA KUFKIIRIKA!!!!!
 
Ni heri ukawa wapewe adhabu na waondoke dodoma kabisa kuliko kupisha sheria mbovu
 
Wamesahau kabisa kuwa samweli sita ndio alimpandisha zito kabwe chati
 
Maisha bora kwa kila mtanzania na miswada yao ya dharura...
 
Muongozo aliopewa na fisadi mwenyekiti wa chama chao wa kutumia ubabe kupitisha miswaada hiyo ya kifisadi kaustukia anaogopa, sasa kaamua kususa labda watamuita Ndugai au Zungu akalie kiti chake ili wafanye ujambazi wao.

Spika mama ana makinda akimbia bunge,kikao cha bunge jioni kimeanza lkn cha kushangaza ni karibu nusu saa imepita lkn mama ana makinda haonekani,mama amepata tatizo gani?
 
Jamani hv Spika anaposema NAFIKIRIA WALIOAFIKI WAMESHINDA ANAMAANISHA NINI HIVI KUMBE BUNGENI HOJA ZINASHINDA KWA KUFKIIRIKA!!!!!

Walishasema wamechoka na hawana namna nyingine ya kufikiri dawa tunayo wananchi 25**10**2015** viginevyo wataendelea kudhani walioafiki wameshinda
 
haya sasa tuleteeni mambo, kwa hapa sioni udharula wa hiyo miswada so pamoja na upinzani
 
Tundu lissu,machari,mnyika,selasini,mkosamali,msigwa wahukumiwa na kamati ya maadili,haki na kinga ya bunge kutohidhuria vikao vilivyobaki
 
Back
Top Bottom