Spika Makinda atumiwa SMS zaidi ya 400 'za matusi'

Baada ya viongozi wa CHADEMA kutoa namba za spika kwa ajili ya wananchi kuhoji uonevu unaofanywa na kiti chake, wananchi wameikitikia mwito huo vizuri kwa kumtukana spika, TCRA na polisi wanafuatilia wahusika na watachukuliwa hatua za kisheria.

Source: Mwananchi

Magereza yatajaa basi waendelee kuyajenga kwa kasi kubwa
 
Tuseme ukweli,Anna Makinda ana mchango gani kwa taifa pale bungeni???Wote ni CCM,mbona Mh.Sitta aliliongoza kwa maslahi makubwa ya kitaifa??No wonder hakana mume!!
 
Baada ya viongozi wa CHADEMA kutoa namba za spika kwa ajili ya wananchi kuhoji uonevu unaofanywa na kiti chake, wananchi wameikitikia mwito huo vizuri kwa kumtukana spika, TCRA na polisi wanafuatilia wahusika na watachukuliwa hatua za kisheria.

Source: Mwananchi
hakuna cha watanzania walioitikia wito usifikiri wote ni mabwege kama ulivyo.Ni Haohao chadema wanaotuma sms hizo
 
Mwanzo wa ngoma ni lele. Pema usijapo pema siiiiiiiiiiiiiiiii pema tena na nyingine nyiiiiiiingi za kamusi yangu.
 
TCRA wanasema hakuna sheria inayokataza mtu kutoa namba ya mtu.....sheria iliyopo inakataza kampuni za simu kutoa namba ya mtu so hapa Zitto won
 
Me huwa tu nawaonea huruma mburula wote wanaoshabikia,mara ooh 2015 ikulu,inanisaidia nini mimi hata siku moja cwezi tumika kama chombo, eti unaamini kabisa kwamba fulani akiingia ikulu atakusaidia,hata siku moja hakuna mwanasiasa anakutakia mema,fanya kazi acha utoto.
 
Ngoja na mimi nijiunge na xtream pack nimtumie zangu 5 tuu,simtukani ila nampa makavu live.Huyu bi kiroboto sio wakumchekea kabisaaa!!
 
Badala ya kulalamika angechukua kama tathmini ya utendaji wake. Kama anafanya kazi nzuri hawezi kutukanwa! Hii ni dalili ya wananchi kutoridhika na utendaji wake. CHADEMA hawajakosea kutoa namba ya spika. Yeye ni kiongozi anahitaji kupongezwa au kukoselewa pale anapokosea. Tunahitaji namba za rais, waziri mkuu, na wakubwa wote
 
Hiki kinachotokea wala siyo kitu cha kushangaza kwa sababu watu wenye hekima walikua hili litatokea kutokana na mazingira, sababu ya msingi na jinsi namba zilivyotolewa.

Kama katika hizo namba ambazo zilisomwa, mojawapo ikawa siyo ya kikazi, basi Mh.Zitto atakuwa amefanya makosa, na ninafikiri Mh. Zitto alilijua hili na kwa ujanja wake akawashirikisha viongozi wengine kutenda (Mh. Lema) ili ikidhibitika katika macho ya sheria kwa kosa la Aiding and abetting (accomplice liability) kwa maana kuwa watu fulani wametumia hizo number walizopewa kutenda makosa kisheria kama, abusing, insult, defamation n.k. Mh. Lissu nafikiri kwa kujua ujanja wa Mh.Zitto na implication yake hakutaka kununua idea yake.

Wanasiasa lazima wawe na mawasiliano na wananchi wao. Namba ya simu ni sawasawa na sanduku la posta, na wananchi wanapaswa kupewa lakini hiyo isiwe ndiyo tiketi ya kurusha matusi na kejeri.
 
watu wamemtukama mama matusi ya nguoni aisee,anasema baada ya matusi kuzidi ilibidi azime simu,anashangaa kuwa pamoja na kwamba yeye ni kiongozi wa serikali lakini bado ni mama sasa kwa nn ametendewa hivyo?

Matusi ya nguoni ndio yapi hayo? Funguka kidogo mkuu
 
Back
Top Bottom