MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 836
Naona aibu kumuita huyu mtu mbunge wangu. 2015 Wasambaa inabidi tumuondoe.
Mbunge wa Korogwe-CCM Stephen Ngonyani(Profesa Maji Marefu) amemshambulia vikali Dr Stephen Ulimboka kwamba alistahili unyama aliofanyiwa na kuwataka madaktari wasimtibu.Spika Makinda ilibidi aingilie kati na kumuamuru Ngonyani kuacha mara moja kuzungumzia suala hilo ndani ya bunge kwa sababu liko mahakamani.Ngonyani akajitetea kuwa amechanganyikiwa kwa sababu aliumwa sana na watu wakamzushia kifo.Kabla ya kuwa Mbunge Ngonyani amewahi kuwa mganga wa kienyeji.Kauli hiyo ya Ngonyani ilionekana kushangiliwa sana na wabunge wenzake wa CCM huku wale wa CHADEMA wakimzomea.
Kwanza tuangalie sifa za Mbunge huyu aliyeropoka uharo huu:
- Darasa la 7.
- Mganga wa Kienyeji.
- Mwanachama wa CCM.
Mbunge wa Korogwe-CCM Stephen Ngonyani(Profesa Maji Marefu) amemshambulia vikali Dr Stephen Ulimboka kwamba alistahili unyama aliofanyiwa na kuwataka madaktari wasimtibu.Spika Makinda ilibidi aingilie kati na kumuamuru Ngonyani kuacha mara moja kuzungumzia suala hilo ndani ya bunge kwa sababu liko mahakamani.Ngonyani akajitetea kuwa amechanganyikiwa kwa sababu aliumwa sana na watu wakamzushia kifo.Kabla ya kuwa Mbunge Ngonyani amewahi kuwa mganga wa kienyeji.Kauli hiyo ya Ngonyani ilionekana kushangiliwa sana na wabunge wenzake wa CCM huku wale wa CHADEMA wakimzomea.
keshaanza kuchanganywa na tunguri alizozitelekeza huyo!
katika mchango wake bungeni leo mbunge wa Korogwe kawatonesha madaktari kidonda! Kasema kama madaktari wamegoma kutibu watu kwa nini wanamtibu dr. Ulimboka? Madam Spika ikabidi amzuie kwamba swala liko mahakamani! Mi nadhani afya yake mgogoro angeishauri serikali yake
serikali ya kichawi,viongozi wachawi kila mmoja ukimkagua hakuna mwenye Mungu wa kweli wote Mungu wao ni shetani,Hivi kama siyo uchawi kwa madudu wanayofanya bungeni kuna hata mmoja angechaguliwa?kabisaa mganga nae anaweza changia nini?halafu mbaya zaidi wenzake wanashangilia,yaani iko siku watajutia nafsi zao na iko karibu kuliko wanavyofikiria,wasifikiri nchi zenye vita wanapenda,ni ushenzi kama huo wakwao ndo unapelekea nchi kuingia vitani,kama hawaamini wakawaulize wenzaoHii ndiyo Tanzania,tunaingiza mpaka waganga wa kienyeji ndani ya bunge kunaashiria nini,au bunge limegeuka kuwa kilinge cha kupandishia mashetani.Pia akumbuke haki ya msingi ya kuishi iliyotafsiriwa katika katiba ya Jamhuri ya Muungano
Aombe yeye na hao waliomshangilia wasiumwe tena, wakiumwa au kupata ajali wapitilize IndiaMbunge wa Korogwe-CCM Stephen Ngonyani(Profesa Maji Marefu) amemshambulia vikali Dr Stephen Ulimboka kwamba alistahili unyama aliofanyiwa na kuwataka madaktari wasimtibu.Spika Makinda ilibidi aingilie kati na kumuamuru Ngonyani kuacha mara moja kuzungumzia suala hilo ndani ya bunge kwa sababu liko mahakamani.Ngonyani akajitetea kuwa amechanganyikiwa kwa sababu aliumwa sana na watu wakamzushia kifo.Kabla ya kuwa Mbunge Ngonyani amewahi kuwa mganga wa kienyeji.Kauli hiyo ya Ngonyani ilionekana kushangiliwa sana na wabunge wenzake wa CCM huku wale wa CHADEMA wakimzomea.
Safiii hisia nzito hizi
Mbunge wa Korogwe-CCM Stephen Ngonyani(Profesa Maji Marefu) amemshambulia vikali Dr Stephen Ulimboka kwamba alistahili unyama aliofanyiwa na kuwataka madaktari wasimtibu.Spika Makinda ilibidi aingilie kati na kumuamuru Ngonyani kuacha mara moja kuzungumzia suala hilo ndani ya bunge kwa sababu liko mahakamani.Ngonyani akajitetea kuwa amechanganyikiwa kwa sababu aliumwa sana na watu wakamzushia kifo.Kabla ya kuwa Mbunge Ngonyani amewahi kuwa mganga wa kienyeji.Kauli hiyo ya Ngonyani ilionekana kushangiliwa sana na wabunge wenzake wa CCM huku wale wa CHADEMA wakimzomea.
nadhani anawakilisha kundi waganga wa jadi. anaweza kutoa hoja binafsi ya kupendekeza na mganga ambaye hataingizia hasara serkali kwa kwenda kwa waganga kwa kuwa yeye mwneyewe ni SANGOMAHuyu mbunge hana mchango katika taifa alistahili kufa tu, anamaliza rasilimali za taifa bure