tembeleh2
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 765
- 165
Jana prof. Maji Marefu wakati akichangia hotuba ya bajeti ya ofisi ya waziri mkuu Aluzungumzia kipigo cha daktari ulimboka kama ifuatavyo namnukuu" KIPIGO ALICHOPATA MWENYEKITI WA JUMUIYA YA MADAKTARI TANZANIA, STEPHEN ULIMBOKA,KINASTAHILI ILI NAYE APATE APATE MACHUNGU WANAYOPATA WAGONJWA WENGINE HOSPITALINI" mwisho wa kunukuu. Kauli hii ilizusha tafrani bungeni mpaka Mh. Spika akaingilia kati.
Sasa wana JF mnaizungumziaje kauli hii ya mbunge huyu? mi naona kama amehusika ndo maana anataka kuhalalisha unyama huo.
Sasa wana JF mnaizungumziaje kauli hii ya mbunge huyu? mi naona kama amehusika ndo maana anataka kuhalalisha unyama huo.