Spika amesimama kuwaamuru wote wakae chini. Wenje aiita kamati ya uongozi kuiita dark market. Wenje ametakiwa kuliondoa neno hilo, amegoma. Mwanasheria Mkuu atishia nguvu ya sajent of arms kumtoa Wenje nje, Zitto anaongea na tusubiri, Zitto anamtetea Wenje,
Asisitiza sio sahihi kumuita sajenti of arms.
Spika Makinda ameshindwa kabisa kazi...Masikini Anna!
Anambembeleza Wenje,
Wenje anawithdraw neno Dark Market na kusema White Market.
Mbunge kaomba kutoa hoja, Spika kagoma kasema kutoa hoja
Uchaguzi uendelee.