Kauli ya spika wa bunge iliniuimiza sana na kunikera. Yeye anaamini kuwa watanzania hawafahamu chochote kuhusu fedha zilizofichwa Uswis. Hii ni dharau kwa wananzania na ni ishara ya kulewa madaraka. Kama watu wake wa Njombe waliompigia kura hawafahamu ajue ni kutokana na uzembe wake yeye wa kuchelewesha miundo mbinu kama vile barabara, mawasiliano ya njia zote kama simu, television na radio ndio maana watu wake hawapati habari. Sisi tuna vyanzo vyote vya habari, hivyo tunaelewa kila kinachoendelea katika nchi yetu. Acha dharau kwani madaraka uliyonayo ni ya kupita tu. Haukuzaliwa kiongozi na utaucha uongozi pengine kabla hata Mungu hajakuita. Nonesense.Mh Lembeli kauliza swali la nyongeza; ripoti ya utoroshaji wa fedha Uswisi itatolewa, maana Watanzania wengi wanaisubiri kwa hamu.
Kabla AG hajajibu Spika Makinda akachomekea,"kwanza hata hawayajui!
Napenda kumjulisha kuwa;
1. Inawezekana Watanzania wengi hawajui lkn ndio maana wamechagua Wabunge wakiamini wana uelewa.
2. Watanzania wa leo sio wa enzi zako ukiwa Waziri kwenye Serikali ya Nyerere.
Mh Lembeli kauliza swali la nyongeza; ripoti ya utoroshaji wa fedha Uswisi itatolewa, maana Watanzania wengi wanaisubiri kwa hamu.
Kabla AG hajajibu Spika Makinda akachomekea,"kwanza hata hawayajui!
Napenda kumjulisha kuwa;
1. Inawezekana Watanzania wengi hawajui lkn ndio maana wamechagua Wabunge wakiamini wana uelewa.
2. Watanzania wa leo sio wa enzi zako ukiwa Waziri kwenye Serikali ya Nyerere.
watanzania hata wakitukanwa lakini watakupa kura tu, watanzania wamelala usingizi wa pono! Ufisadi unaendelea wao wanalala tu!Mh Lembeli kauliza swali la nyongeza; ripoti ya utoroshaji wa fedha Uswisi itatolewa, maana Watanzania wengi wanaisubiri kwa hamu.
Kabla AG hajajibu Spika Makinda akachomekea,"kwanza hata hawayajui!
Napenda kumjulisha kuwa;
1. Inawezekana Watanzania wengi hawajui lkn ndio maana wamechagua Wabunge wakiamini wana uelewa.
2. Watanzania wa leo sio wa enzi zako ukiwa Waziri kwenye Serikali ya Nyerere.
Awali huyu mama alivyochaguliwa kuwa Spika wa Bunge la JMT, binafsi nilionesha wasiwasi...
Ni kweli kwamba Mama Makinda ana uzoefu wa muda mrefu kwenye uongozi na hata saikolojia ya uongozi anaifahamu vyema.
Ni mtu aliyeanza kuitumikia CCM tangu ikiitwa TANU na zaidi Baba yake alikuwa ni mtumishi wa Serikali akiwa kama Mkuu wa Mkoa.
Lakini linapokuja suala la kuongoza Vikao vya Bunge ni wazi Spika huitajika kuwa na uwezo wa ziada zaidi ya uzoefu wa kuongoza.
Anapaswa awe ni mtu mwenye kuilinda na kuisimamia Demokrasia kwa kuwa Bunge letu ni mkusanyiko wa Wabunge kutoka vyama mbalimbali, na hapa ndipo Mama Makinda anapoonesha udhaifu.
Unapouzima mjadala kwa kisingizio kuwa Watanzania hawafahamu huo ni upunguani na ukosefu wa uwezo kwenye kuongoza.
Sasa kama Watanzania hawajui, si ndio katokea mtu ambaye anataka kuwafanya Watanzania wafahamu!!