Spika Job Ndugai: Asilimia 80% ya Wabunge wana umri wa zaidi ya miaka 40. Adai ni Bunge la Wazee na si la Vijana

Daimler

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
556
973
IMG_8285.JPG

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai akitamba leo bungeni, ametoa ufafanuzi wa takwimu mbalimbali za umri na elimu za Wabunge na kueleza kuwa, Bunge hilo Lina asilimia 80% ya Wabunge wenye muriti wa zaidi ya miaka 40, tofauti na watu wengi ambao wamekuwa wakidai kuwa, Bunge hilo ni la Vijana.
Ndugai ameeleza kuwa, kwenye Elimu, Wabunge wa Viti Maalum ni kama ifuatavyo:
  • Elimu ya sekondari: CUF - 05, CHADEMA - 05 na CCM - 14
  • Diploma: CUF - 08, CHADEMA - 08 na CCM - 14.
  • Bachelor: CUF - 01, CHADEMA - 23 na CCM - 32.
Aliongelea juu ya Wabunge wote kama ifuatavyo:
  • First Degree: CUF - 14, CHADEMA - 31 na CCM - 114.
  • PhD: CUF - 01, CHADEMA - 01 na CCM - 27.
  • Professor: CUF - 00, CHADEMA - 00 na CCM - 07.
IMG_8284.JPG

Dah!! CCM imetisha kwa kuwa na Maprofesa balata. Kwingine huko, si CHADEMA wala CUF, naona hakuna vipanga wa kutosha. Hongereni Wabunge wa CCM.
 
Hivi umri wa 40 - 50 wanakuwa ni wazee kumbe!!!
kubali ukweli kua 40 tayari we ni mzee sema uko kwenye early stages....

Iko hivii 25-35 ni MZEE BABA

Yani 36 -39 ni MBABA?

Yani 40-49 ni MZEE KIJANA ama KIJANA WA MAKAMO au MBABA

kuanzia 50 mpka 60 ni MTU MZIMA...

60-79kuendelea wewe sasa ni SENIOR CITIZEN aka MSTAAFU au VETERAN

80-89 ni KIKONGWE

90- Ni EQUIVALENT ya AJUZA yani NYANYA

Life Span imepungua sana sasa ukiambiwa miaka 40 ni mzee shukuru sana tena ufurahi umepata nafasi ya kuzeeka!
 
View attachment 865947

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai akitamba leo bungeni, ametoa ufafanuzi wa takwimu mbalimbali za umri na elimu za Wabunge na kueleza kuwa, Bunge hilo Lina asilimia 80% ya Wabunge wenye muriti wa zaidi ya miaka 40, tofauti na watu wengi ambao wamekuwa wakidai kuwa, Bunge hilo ni la Vijana.
Ndugai ameeleza kuwa, kwenye Elimu, Wabunge wa Viti Maalum ni kama ifuatavyo:
  • Elimu ya sekondari: CUF - 05, CHADEMA - 05 na CCM - 14
  • Diploma: CUF - 08, CHADEMA - 08 na CCM - 14.
  • Bachelor: CUF - 01, CHADEMA - 23 na CCM - 32.
Aliongelea juu ya Wabunge wote kama ifuatavyo:
  • First Degree: CUF - 14, CHADEMA - 31 na CCM - 114.
  • PhD: CUF - 01, CHADEMA - 01 na CCM - 27.
  • Professor: CUF - 00, CHADEMA - 00 na CCM - 29.
View attachment 865948

Dah!! CCM imetisha kwa kuwa na Maprofesa balata. Kwingine huko, si CHADEMA wala CUF, naona hakuna vipanga wa kutosha. Hongereni Wabunge wa CCM.
What's for? I hope the man is suffering from mental illness
 
IMG_8289.JPG

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Job Ndugai amefafanua juu ya elimu za Wabunge wa Tanzania kama ifuatavyo:

IMG_8287.jpg

IMG_8290.JPG

Kwa hiyo kila kitu kinajieleza. Sasa ni muda wetu sisi wazee wa mapovu live kutiririka hapa chini.
 
kubali ukweli kua 40 tayari we ni mzee sema uko kwenye early stages....

Iko hivii 25-35 ni MZEE BABA

Yani 36 -39 ni MBABA?

Yani 40-49 ni MZEE KIJANA ama KIJANA WA MAKAMO au MBABA

kuanzia 50 mpka 60 ni MTU MZIMA...

60-79kuendelea wewe sasa ni SENIOR CITIZEN aka MSTAAFU

80-89 ni KIKONGWE

90- Ni EQUIVALENT ya AJUZA yani NYANYA

We jamaaa nimecheka mpaka basi. dah kumbe nishakuwa mzee wakati kila siku najitahidi kujipa moyo bado kijana
 
View attachment 865947

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai akitamba leo bungeni, ametoa ufafanuzi wa takwimu mbalimbali za umri na elimu za Wabunge na kueleza kuwa, Bunge hilo Lina asilimia 80% ya Wabunge wenye muriti wa zaidi ya miaka 40, tofauti na watu wengi ambao wamekuwa wakidai kuwa, Bunge hilo ni la Vijana.
Ndugai ameeleza kuwa, kwenye Elimu, Wabunge wa Viti Maalum ni kama ifuatavyo:
  • Elimu ya sekondari: CUF - 05, CHADEMA - 05 na CCM - 14
  • Diploma: CUF - 08, CHADEMA - 08 na CCM - 14.
  • Bachelor: CUF - 01, CHADEMA - 23 na CCM - 32.
Aliongelea juu ya Wabunge wote kama ifuatavyo:
  • First Degree: CUF - 14, CHADEMA - 31 na CCM - 114.
  • PhD: CUF - 01, CHADEMA - 01 na CCM - 27.
  • Professor: CUF - 00, CHADEMA - 00 na CCM - 07.
View attachment 865948

Dah!! CCM imetisha kwa kuwa na Maprofesa balata. Kwingine huko, si CHADEMA wala CUF, naona hakuna vipanga wa kutosha. Hongereni Wabunge wa CCM.
Sasa kama maprofesor wenyewe ni Kama Kabudi, Kapuya, Muhongo, nk wamesaidia nini?
 
Kumbe kuna professors wa zero!! Ndio maana wanaingia kwenye siasa? Professor ana uwezo wa kuzunguka dunia yote na kujipatia kipato kizuri (Lumumba wa Kenya) jamani nimejifunza kitu kumbe na Vihiyo vipo
 
Back
Top Bottom