Spika Dkt. Tulia: Mtu anaweza kukosa nafasi kwenye uchaguzi lakini akaja kuteuliwa hivyo wana Mbeya msinuniane!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,778
145,708
Spika Dr Tulia amesema CCM kuna nafasi nyingi unaweza kukosa kwenye kuchaguliwa lakini ukaja Kuteuliwa Msinuniane Uongozi ni kuachiana kijiti

Dr Tulia amesema hayo wakati akimpongeza Mwenyekiti mpya wa CCM mkoa wa Mbeya Komredi Mwalunenge

Source: Mwananchi

Lucas na ChoiceVariable Msinuniane πŸ˜‚
 
majizi ya kura yanafikiria kula tu na si service kwa watu. mashetani wakubwa , Mungu yaangamize yasombwe na tsunami ya hanang
 
majizi ya kura yanafikiria kula tu na si service kwa watu. mashetani wakubwa , Mungu yaangamize yasombwe na tsunami ya hanang
Yatasombwa na yanazidi kusombwa. Kuna likubwa limoja litaondoka soon
 
Mlala Hoi : Keki ya Taifa ni kubwa mno, acha wagawane.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
majizi ya kura yanafikiria kula tu na si service kwa watu. mashetani wakubwa , Mungu yaangamize yasombwe na tsunami ya hanang
Amini nakwambia, hata CUF, CHADEMA, TADEA na vyama vingine ilmradi ni wa Afrika wakipewa nafasi ya uongozi mambo yatakuwa yaleyale.

Kuwa kiongozi mwenye maslahi ya unaowaongoza hapa Afrika ni lazima uwiwe na utashi.
 
Hili ndilo tatizo la CCM. Walishachukulia kuwa ni halali kuteuana kichama na kugawana nafasi au madaraka ktk utumishi wa umma. Ni haibu Dr. mzima kusema haya aliyoyasema. Amewahidi nafsi zipi, ukurugenzi EWURA au kwenye almashahuri?
 
Hapana sisi hatununi hata kidogo maana siku zote tunatanguliza mbele maslahi ya Taifa letu kuliko maslahi yetu binafsi. Ndio maana unaona mimi na choice variable tupo humu wakati wote tukilitetea Taifa letu.
 
majizi ya kura yanafikiria kula tu na si service kwa watu. mashetani wakubwa , Mungu yaangamize yasombwe na tsunami ya hanang
Utakufa wewe na kuwaacha unaowaombea mabaya. Maana Mungu siyo mwanadamu na hapangiwi na mwanadamu.
 
Haichekeshi we ajuza.
Wewe Tindo usimjibu Faizafoxy kama unavyonijibu mimi. Faiza ana heshima yake kubwa na kuheshimika sana humu jukwaani.kwanza sizani hata kama mnalingana umri.kwa hiyo uwe na adabu na heshima kwa wakongwe wetu wa jukwaa hili na waliyolipatia heshima jukwaa letu.
 
Sawa descpline master. Humu ndani umri unapimwa kwa point zako.
 
Yaani ccm ishajipindua kikamilifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…