Spika amzuia Mbunge kuzungumzia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa!!?

The Khoisan

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
15,580
13,292
Nimeona Clip inaonyesha Mbunge Devota (sijui wa wapi na chama gani) alikuwa anauliza swali kuhusu mkanganyiko wa uchaguzi wa serikali za mitaa. Cha kushangaza Spika Ndugai akamkatisha kwa kudai kuwa ameandikiwa swali hivyo kanuni haziruhusu kuuliza maswali ya kuandikiwa.

Mbunge Devota alikataa kuwa hakuandikiwa. Cha ajabu Spika alimkatisha kwa kumuita Mbunge mwingine aulize swali. Sasa sijui hiyo ni mbinu ya kuzuia Wabunge wasijadili uchaguzi wa serikali za mitaa au ndiyo muendelezo wa ubabe wa CCM ...!!?
 

Attachments

  • VID-20191114-WA0021.mp4
    2.2 MB
hsdhhdw a njdied hud aliandikia mnjhfekkjdnhw mnhjhywu wb kama sajhyhkhkwdyiuw je mjhsabsbjhkj alionaje mhkjhkcjsa ?
ls lef hn h hmnbvjds bvhw u
 
Back
Top Bottom