Spika amzuia Mbunge kuzungumzia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa!!?

Amepita bila kupingwa

1573790548343.jpeg
 
Hiyo ndiyo "kujimwambafai" aliouita JK kuwa utawala huu wa awamu ya tano ndicho kilichobaki wanachojivunia kilichobaki kwao

Kwa kuwa wanajua bila "kujimwambafai" hakuna chama cha CCM!
 
Sheria unaijua wewe, unasififia mavi wenzio wakikuwepo miaka kenda wameshindwa wakina kipara kipya, lizaboni, stroke, elitwege/etwege, nyani ngabu, faiza foxy. wote hao walijitahidi kutetea mavi yakawashinda harufu saizi wako kimya wewe utaweza peke yako na state agent, tena kwa ubongo wa mbuzi huo?
Ni vizuri tufuate sheria ili Tuendelee kudumisha amani ya Nchi
 
Ni vizuri tufuate sheria ili Tuendelee kudumisha amani ya Nchi
Kuuliza swali bungeni, tena bunge lililopo gizani kunawezaje kuhatarisha amani ya nchi? Tangu lini kuuliza swali ni kutofuata sheria? Uwe umetumia akili kujibu issues hapa JF
 
Hakika ndiyo maana sisi wananchi tunaliita hilo Bunge kuwa ni dhaifu sana.......

Hivi Bunge la wananchi, linawezaje kukataa swali ambalo ni la maslahi mapana kwa wananchi wake??
 
Back
Top Bottom