Makonda Kamuweka rais kati.Nguvu ya spika wa bunge ni kubwa na hili wala sihitaji kuelezea!
Sasa Spika anaposema mkuu wa mkoa wa DSM ana nguvu hapo ndio mimi sielewi kabisa!
Labda kama wadau mtanielewesha...
Kwamba imefika mahali Makonda ana paralize system ya uongozi wa nchi?
Rais anamuagiza Makonda akaihamasishe timu na spika anamuagiza waziri akasimamie timu. Hivi what was that?
Makonda anaitisha kikao na timu, hivi waziri anaingia hichi kikao kama nani?
Mjumbe au?
Tumeshageuza nchi kuwa kitu cha ajabu ambacho labda watu kama Kabudi tu ndio wanaelewa tunakoelekea.
Mimi nilidhani tunapiga hatua kutoka uongozi wa Kikwete kwa kuboresha taasisi na kuzipa nguvu ila nguvu kubwa sana imetumika kuparalize hizo taasisi na CCM ikiwepo.
Ukiangalia kwa umakini hata CCM kama taasisi iko in disarray. Mwenye nguvu ni Mwenyekiti pamoja na Makonda.
This alarm should be enough. Think people, think!
+13
Huyo makonda mnaemsema ni bora x100 zaidi ya huyo sabufawenuWivu wa nini sasa!
Naweza kuwa na ving'ombe na mbuzi nilivyotafuta kwa shida ila vikadumu mpaka nikaviacha urithi.
Mali alizo nazo Makonda zaweza kupotea kesho kama harufu ya perfume!
Hapa tutumie neno DHAIFU litatuongoza vizuriNguvu ya spika wa bunge ni kubwa na hili wala sihitaji kuelezea!
Sasa Spika anaposema mkuu wa mkoa wa DSM ana nguvu hapo ndio mimi sielewi kabisa!
Labda kama wadau mtanielewesha...
Kwamba imefika mahali Makonda ana paralize system ya uongozi wa nchi?
Rais anamuagiza Makonda akaihamasishe timu na spika anamuagiza waziri akasimamie timu. Hivi what was that?
Makonda anaitisha kikao na timu, hivi waziri anaingia hichi kikao kama nani?
Mjumbe au?
Tumeshageuza nchi kuwa kitu cha ajabu ambacho labda watu kama Kabudi tu ndio wanaelewa tunakoelekea.
Mimi nilidhani tunapiga hatua kutoka uongozi wa Kikwete kwa kuboresha taasisi na kuzipa nguvu ila nguvu kubwa sana imetumika kuparalize hizo taasisi na CCM ikiwepo.
Ukiangalia kwa umakini hata CCM kama taasisi iko in disarray. Mwenye nguvu ni Mwenyekiti pamoja na Makonda.
This alarm should be enough. Think people, think!
Katika nyanya zote za uongozi. Najua makonda anamapungufu mengi ila sio yakumzidi sabufaBora kwenye nini?