naomba uelewe CUF ya mwaka 2005 siyo hii ya mwaka 2011...mbona wao walikubaliwa kufanya kazi na CUF wakati huo Chadema walikuwa na viti vichache na CUF ilikuwa na uwezo wa kuunda kambi peke yao?...
Huwa natamani sana kujua ni mbunge gani ambae hakutoka nje siku hiyo....Hapo kwenye bold sio CUF peke yao mkuu hata CDM kuna wabunge hawaku walk out au ndio ukipenda sana hata kama ana kasoro huzioni?
Hapo kwenye bold sio CUF peke yao mkuu hata CDM kuna wabunge hawaku walk out ....
Hamad aache usanii hii nchi sasa hivi hakuna mtu mjinga,huwezi kuwa ndani ya serikali znz eti bara uwe mpinzani,huo ni uongo na unafiki
Hamad aache usanii hii nchi sasa hivi hakuna mtu mjinga,huwezi kuwa ndani ya serikali znz eti bara uwe mpinzani,huo ni uongo na unafiki
Mkuu nakubaliana na wewe lakini sioni sababu ya watu kuumiza vichwa vyao eti wanajf hawajui tafsiri ya neno "kambi isiyo rasmi" ?????? Mie siamini kama hamjui labda mmetoka kuamka.
1995-200 CUF waliikataa CDM na NCCR wakaunda kambi na UDP kiongozi akiwa Magdalena Sakaya. 200-2005,2005-10 walilazimika kwani CUF walipungua zaidi.CUF hawajawai kuwa na idadi 12.5% ya kuunda kambi ya upinzani wenyewe kwa hiyo hawakuwapa ofa CDM bal walibanwa na katibaMarytina,nakubaliana na wewe bora kuwa na watu wachache wazalendo, ila si vibaya wakawapa nafasi,wakiharibu watolewe.
Kuhusu suala la pili, Chama chenye wabunge wengi katika upinzani ndo huunda kambi ya upinzani,baada ya uchaguzi ndo hali imebadilika,miaka iliyopita CUF ndo walikuwa wengi na chini ya Uongozi wa Hamad Rashid kama mwenyekiti wa kambi ya Upinzani,CHADEMA walishirikishwa na si UDP tu kama ulivyosema,walishirikiana vizuri navyofikiri.
1995-200 CUF waliikataa CDM na NCCR wakaunda kambi na UDP kiongozi akiwa Magdalena Sakaya. 200-2005,2005-10 walilazimika kwani CUF walipungua zaidi.CUF hawajawai kuwa na idadi 12.5% ya kuunda kambi ya upinzani wenyewe kwa hiyo hawakuwapa ofa CDM bal walibanwa na katiba
Not worth even trying, huwezi kujaribu sumu kwa kuilamba itakumaliza. CUF wameungana na CCM Zanzibar na huku bara wanataka wawe opposition haiwezkani kisa wanataka uwaziri kivuliItakuwa ngumu safari hii,manake huko upinzani watu sheria na kanuni wanazijua TF wanaweza mzidi experience anayojivunia......
Mi nafikiri CHADEMA wawakubali hao NCCR,TLP,CUF,wakileta ujinga kuna vifungu vinaruhusu kuwaondoa kama ilivyokuwa kwa John Cheyo,tatizo ni kuwa hivi vyama haviaminiki,watu wana hila zao za kisiasa,i can understand CHADEMA hesitation to work with this guys but it worth trying working together.
1995-200 CUF waliikataa CDM na NCCR wakaunda kambi na UDP kiongozi akiwa Magdalena Sakaya. 200-2005,2005-10 walilazimika kwani CUF walipungua zaidi.CUF hawajawai kuwa na idadi 12.5% ya kuunda kambi ya upinzani wenyewe kwa hiyo hawakuwapa ofa CDM bal walibanwa na katiba
Kaka maana ya walk out ni nini??
Hebu taja mbunge wa CDM aliyekuwa ukumbini na hakutoka wakati JK anaanza kutoa hotuba.
Unaweza kuniambia kwanini hawakuwepo wakati wenzao wana walk out? nadhani ifike mahali watu wakubali neno "demokrasia" kwa maana pana na si kulazimishwa wengine wanavyotaka. Nawaheshimu sana watu wenye misimamo tofauti na vyama vyao kama Dr mwakyembe, Samwel Sitta, Zitto na wengine wengi. Hiyo ndio demokrasia.