spidi ya internet vodacom imekuwa na kasi ya ajabu

spidi ya internet vodacom imekuwa na kasi ya ajabu

Mkuu, 25mb haziwezi kufika masaa 24, lakini nimeipenda hiyo ya 2gb kwa 10000/=, natumia huawei e173 ya airtel nimehangaika sana kui-unlock lakini nimechemka, nisaidie steps if possible

Kama ina imei nitumie kwny PM nikutumie unlock codes ninasoftware inacalculate na kutoa unlock code baada ya kuingiza imei
 
Mimi kwa muda mrefu natumia sana internet kwenye simu, nakubali kama unatumia 3G vodacom wana speed ila kama uko nje ya mtandao wa 3G airtel kwa mimi naona ni zaidi.
 
Mimi kwa muda mrefu natumia sana internet kwenye simu, nakubali kama unatumia 3G vodacom wana speed ila kama uko nje ya mtandao wa 3G airtel kwa mimi naona ni zaidi.

Mi vodacom tanga napata 30-40 KBps speed ya mwisho ya edge (hamna zaid ya hiyo dunian). Still voda wapo juu kivyovyote
 
Voda hata mimi nawakubali sasa walivyo anzisha hivi vifurushi vyao vya unlimited natumia hiko cha 10000 kwa wiki na ninakula bata ile mbaya usiku mzuri naweza shusha kitu mpaka 5gb+ na hapo tuu kwavile natumia simu yangu kuunganishia inakuwa drained sana au nikiichaji sana inakuwa ya moto so for like 4-5 hrs use ni bomba kwangu with my i4n. Airtel situmii tena wamekuwa kimeo cha kutupa sijui wanapeana zamu hawa jamaa kula bata.....
 
habari zenu wakuu,

mimi ni mteja wa internet katika mitandao mbalimbali tanzania, kasi ya internet imekuwa si nzuri kwa muda mrefu kweli.

Juzi nilijiunga na kifurushi cha vodacom cha bomba7,nilijiunga kwenye sim yangu ya htc android,sema kweli siku amini spidi niliye iona.ni ya kasi ya ajabu hapa mitaa ya mikocheni na kijito nyama ambapo nimepata fursa ya kujaribu kuangalia spidi ya vodacom na airtel.

Vodacom nilipo weka 3g ikaonesha 4g kwenye sim na nilipo anza ku download spidi ilifika hadi 7mbs, lkn mda mwingi inacheza kwenye 5mbs.

Nilipo kuwa iringa mjini voda iligonga 500 kbs,

airtel spidi dar ni 400 kbs na iringa 45 kbs.


Nimeweka picha hapo chini,

mimi sio nimekuja kuipigia kampeni voda lkn naona wanahaki ya kupongezwa kwa hili.


Kweli kazi ni kwako.

ni kweli mkuu, vodacom kwa sasa ni moto wa kuotea mbali. Hebu cheki hii screen shot!

SPEED YA VODACOM.jpg
 
Back
Top Bottom