amilyroley
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 621
- 1,200
Mtangazaji mahiri wa ITV anayeripoti habari za Lowassa leo anasubiriwa kwa hamu kubwa kuwapa raha watanzania. Kijana anapiga kazi ya maana kiasi cha kuwakuna wananchi. Leo ni leo spencer lameki saa mbili taarifa ya habari ITV
Spencer Lameck wa ITV wakati akiripoti taarifa ya habari kuhusu mkutano wa Lowasa Musoma kuwa Rekodi ya mafuriko mjini Musoma iliyokaa kwa miaka 16 tangu mazishi ya baba wa taifa leo imevunjwa na Lowasa