Spelling mistakes can ruin your life.

Spelling mistakes can ruin your life.

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781
88730ea74490e4e0d97175c761b595fd
 
Kweli lakini inaweza leta mtafaruku wa nguvu, hadi somo lieleweke inatakiwa awe mtu wa kuelewa sana, vinginevyo ndio mwisho wa ndoa
 
Hadi ujieleze ueleweke inabidi umkodi kiongozi wako wa kidini.
 
Hapo vita yake ni kubwa nafuu hata ya vita kuu ya dunia...lol!
 
na siku chache mmetoka kukorofishana kuhusu kuchelewa kurudi nyumbani. kisha unaongeza na ujumbe huu, mbona utamtambua...
 
Wangu muelewa maana yeye anatumia ufupisho
 
Nimesha fanya spelling mistake mbaya mara mbili, ya kwanza nilimtumia shemeji yangu wa kike meseji fupi "mambo vipi kuna jipya" ukiangalia keyboard yako utaona herufi n na m zinafuatana, badala ya n kwenye kuna nikabonyeza m.

Siku nyingine niliondoka dar jioni sana na nikafika usiku mwingi, baada yakupata chumba gesti na kuweka mambo yangu sawa nikamtumia wife meseji fupi tu "nimeshafika" angalia tena keyboard herufi k inafuatana na herufi L, basi nikabonyeza L badala ya k
 
Hami umefunika
 
hizi smartphone wakati mwingine zinaleta majanga sana, sasa mimi nilikusudia kuandika neno "labda" smartphone ikafanya kazi yake likaenda neno "labia"! nimeshtuka nshatuma!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom