Speed ya internet ya smile ni balaa

Speed ya internet ya smile ni balaa

mfocbsjut

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
479
Reaction score
259
Wana jukwaa hebu angalieni hiyo screenshot hapo, hawa Smile network yao ina speed sijapata kuona. Kwa speed hii, hawapaswi kulaumiwa kwa hizo bei zao. This is amazing, downloading a 2gb torrent in almost 7 minutes.
 

Attachments

  • Download speed.png
    Download speed.png
    224.1 KB · Views: 343
Wana jukwaa hebu angalieni hiyo screenshot hapo, hawa Smile network yao ina speed sijapata kuona. Kwa speed hii, hawapaswi kulaumiwa kwa hizo bei zao. This is amazing, downloading a 2gb torrent in almost 7 minutes.

Mkuu Uko wapi?
Je unatumia Wi-Fi router au Modem ya smile?

Mbona kwangu haizidi 3MB/sec?
Au inategemea na bundle ulounga?
 
Hii imeungwa lile bundle la 100gb per month mkuu

We uko api maana mm nikiwa na shida naungaga kifurushi cha 500MB lakini haizidi 3MB/S sasa ni kwamba shida ni kwamba natumia modem?
Au inategemea na eneo ulipo au kifurushi ulichounga?
 
We uko api maana mm nikiwa na shida naungaga kifurushi cha 500MB lakini haizidi 3MB/S sasa ni kwamba shida ni kwamba natumia modem?
Au inategemea na eneo ulipo au kifurushi ulichounga?

Hata sijui kaka, ila me niko mbezi beach
 
Wana jukwaa hebu angalieni hiyo screenshot hapo, hawa Smile network yao ina speed sijapata kuona. Kwa speed hii, hawapaswi kulaumiwa kwa hizo bei zao. This is amazing, downloading a 2gb torrent in almost 7 minutes.

You are Really right, they are good if you dont mind their prices
 
Kwa spidi wako vizuri, ila katika gharama wapo juu mno, haiwezekani mimi ninayefungua Jf, facebook, whatsapp na email za gmail nitumie 40,000/= kwa siku tatu!
Nilinunua kifaa chao kwa 150,000/= kama kinauzika nauza hata kwa 100,000/= Sisi kada la chini hili si chaguo letu!
 
Wewe ni nani kwenye hiyo kampuni?promo kazini
 
Hilo bundle ----------- na kampuni au hela imekutoka mfukoni?
 
kwa spidi wako vizuri, ila katika gharama wapo juu mno, haiwezekani mimi ninayefungua jf, facebook, whatsapp na email za gmail nitumie 40,000/= kwa siku tatu!
Nilinunua kifaa chao kwa 150,000/= kama kinauzika nauza hata kwa 100,000/= sisi kada la chini hili si chaguo letu!

wewe sio mtumiaji mimi nimenunua toka tqrehe saba mwezi wa saba mpaka leo nimetumia gb 2 tu.kwa matunizi hayo hapo juu huwezi maliza hata gb 1 kwa mwezi.ni matumizi yako kwa mimi siku ya kwanza nilitumia gb 1 sababu niliupdate ant virus na window pamoja na video fulani hv you tube.na kwa hakika you tube ukifungulia video ni kama unaangalia dvd nio clear na inatulia.
 
Kosoa unavyokosoa....ila nilichosema ndicho, kwa mtu wa hali ya kawaida USIJARIBU.....UTAUMIA......
 
Kwa maisha haya ya kibongo unafanya mchezo na milion 1 na laki 4 uanaiteketeza kwenye internet mimi siamin kama wateja wa smart wanatoa hela yao mfukon wengi wao wanalipiwa na kampuni au mashirika yao kwa hiyo million moja mnatakiwa kupata unlimited sio 200gb
 
Back
Top Bottom