safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,164
- 15,841
Hiyo chupa ya chai inapaa hewani kama ndege mkuu?-Dunia ni pamoja na atmosphere/anga lake.
Swali la pili pia linajibiwa na la kwanza.
Nikuoe mfano.
Hivi ukiwa kwenye gari umekaa kwenye siti yako hakuna bumps au kadaraja barabara ya lami imetulia na chupa yako ya chai ukaimimina kwenye kikombe je hiyo chai itamwagika kwa kuwa inaenda na speed ya gari hivyo kikombe kitabaki nyuma????
Chupa ya chai inakuwa ipo mkononi haitembei na ndege inatembea.