Speed up your internate speed

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,554
Reaction score
4,171
wandugu najua mpo bize na bunge move....
naomba tuje na huku....

kuna app 1 nimeiona ya boost speed ya net....kwenye 2g...3g...na 4g.... lkn nimeweka mambo ni yale yale.... naimba ufafanuzi juu ya hizi kitu.... niliyo nayo ni Faster internate.
 
ni wizi tu, hizi apps hua hazifanyi kazi...
internet speed inakua determined na many factors, the software part hua ni factor moja ndogo sana ambayo ni almost negligible, hardwares ndo hua zinaplay part kubwa.. i think its about time u-upgrade your modem utafute zenye higher speeds 100+ MBps kama kweli unataka faster connection, zimejaa ebay..
 
duuuuu hapo sawa.
maana nshajiuliza sana na sijaona mafanikii ya hii makitu.
natumia simu nipo kwa 2g.......sijui ntafnya njia gan mbadala...
 
Ujipatie Simu inayoweza kushika 4G / LTE utaona Internet inakuwa na speed zaidi. Vile vile inategemea na networkcoverage hapo ulipo
 
mkuu sim ina uwezo wa 4g.. lkn nipo kwa 2g..... hapo kusolve hadi kuhama makazi
 
mkuu sim ina uwezo wa 4g.. lkn nipo kwa 2g..... hapo kusolve hadi kuhama makazi
  • Huo ndio ufumbuzi
  • Labda mitandao husika iweke 3g eneo hilo
  • Labda sasa fanya tafiti ni browser zipi zina compress data na kufanya page loading iwe haraka kidogo eg Operamini
 
wandugu najua mpo bize na bunge move....
naomba tuje na huku....

kuna app 1 nimeiona ya boost speed ya net....kwenye 2g...3g...na 4g.... lkn nimeweka mambo ni yale yale.... naimba ufafanuzi juu ya hizi kitu.... niliyo nayo ni Faster internate.

Upo mkoa gani?
Kwa sasa karibia kila wilaya makao makuu yake yana 3G ya Vodacom Roaming
Jaribu kutumia Vodacom modems ndo nilizoona zinashika Roaming pekee sijui zimewekewa nn maana kipindi niko bush nilikua nkijaribu kwa modem nyingi spati roaming lkn kwa modem ya Vodacom niliipata

Fanya research ya hilo kama upo mkoa wenye 3G
 

nipo geita.....ila ni kijijini mjini wanayo 3g
 
Mie tablet langu la tecno s9 linanizingua kwenye net nlifanyje?
Niko muleba!
 
Voda na inatumia Wi-Fi pia.
3g ipo na inasoma vzr tu lkn internet ni sheeeedaa...nabangaiza na ka huawei 330-U10 kako vzr.
 
Voda na inatumia Wi-Fi pia.
3g ipo na inasoma vzr tu lkn internet ni sheeeedaa...nabangaiza na ka huawei 330-U10 kako vzr.

Angalia setn zikae sawa na huawei
 
Mie tablet langu la tecno s9 linanizingua kwenye net nlifanyje?
Niko muleba!

Muleba kuna Vodacom 3G roaming
Nilikua hapo mnamo september 2014 na sikuwa na shida ya net zaidi force simu isome WCDMA ONLY na weka tick ya roaming
 

Attachments

  • 1419195147910.jpg
    32.5 KB · Views: 118
Mara nyingi huwezi kupata speed zaidi ya anayotoa service provider wako
Kama unapata speed ndogo zaidi ya anayokupa isp wako hapo unaweza kuhangaika kutafuta solution

Na kama isp wako anatoa speed kubwa lakini kabana speed hapo possibilities za kuongeza speed hadi kiwango cha mwisho cha isp wako inakuwa ipo, but it depend .

Kama upo eneo la 2g aka edge hapo hakuna jinsi zaidi ya kutafuta browser zinazoweza kubana data ili kufungua haraka kidogo
 

Nipe possibility ya kufanya pindi ISP anapobana wakat ana uwezo wa kwenda juu zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…