Speed Humps

hagg

Member
Jun 12, 2011
12
1
Wa ndugu, hizi speed humps kutoka dar to arusha imekua kero. Imefikia hatua wananchi wameanza kujenga humps zao za udongo between wami and segera. Hamna hata sign ya kuzionyesha na pili ni kubwa kupita kiasi. Vyombo husika tuwe serious sasa hivi vitu vinaongeza ajali. Tanroad Tanga mmelala?
 
kwa nini wanaweka makubwa hivyo, ndio maana watu wanaangaika kununua magari makubwa,
wafanya ubunifu waweke madogo sana lakini kama matatu manne yakifuatana hakuna anayeweza kupita kwa kasi
kwenye tuta lenye ukubwa wa mto wa kulalia kama yamewekwa manne matatu yakifutana tuige wenzetu haya matuta watoe wayagawanye mana nne
 
Back
Top Bottom