Speed Humps | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Speed Humps

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by hagg, Aug 22, 2011.

 1. h

  hagg Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Jun 12, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wa ndugu, hizi speed humps kutoka dar to arusha imekua kero. Imefikia hatua wananchi wameanza kujenga humps zao za udongo between wami and segera. Hamna hata sign ya kuzionyesha na pili ni kubwa kupita kiasi. Vyombo husika tuwe serious sasa hivi vitu vinaongeza ajali. Tanroad Tanga mmelala?
   
Loading...