JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,034
Katika harakati na pita pita na majadiliano katika forum flani ya US/UK nikakukana na hili
Mpaka TCRA watakapokuwa serious kama Wasimamizi wa maslahi ya Tanzania tutaendelea kulia tu.nikakumbuka nyumbani, ISP wetu wanatupa speed max 6mbps/2mbps. Kwa kuangalia tu mabadiliko ya speed ya Internet yetu ni dhahiri kabisa 100mbps hatutaifikia kwa miaka 30+ ijayo.
Mpaka TCRA watakapokuwa serious kama Wasimamizi wa maslahi ya Tanzania tutaendelea kulia tu.
Kuna tetesi mtaani kuwa Airtel walipigwa mkwara na institution flani kuhusu kuwapa waTz bundles kubwa na hivyo, kulingana na tetesi hizo, kuondoa ushindani. Sina hakika na tetesi hizi kwa kuwa situmii Airtel but that is downtown story!
ni just transformation ya siku chache tunafikia hio speed. ona 2g ina speed kama 25kBps wakati 3g hapa bongo ni zaidi ya mara 10 yake.
inamaana tukichange toka 3g kwenda 4g speed itaongezeka maradufu zaidi na kufikia hivyo
Mbona Smile ni 100Mbps useme bundle zao ni vidonda
Voacom wanakuja na 4G bila kuwasahau Tigo mbona tushafika au bado ujashtukia
Mbona Smile ni 100Mbps useme bundle zao ni vidonda
Voacom wanakuja na 4G bila kuwasahau Tigo mbona tushafika au bado ujashtukia
Binafsi Naona hizi 3G na 4G tunazoambiwa ni porojo tu, walianza na habari za mkongo wa baharini... spidi mwendo wa kobe na nipo DSM. Yaani kwa kukiwa na 3G ndo walau naweza fika 3-4mbps so kwa makadirio tu, hiyo 4G inaweza kukufikisha 6mbps, na hizi bundle zilivyo ndogo ndogo ni kimeo.Mkuu hiyo 4G ya nini wakati hata 3.5G hatuioni ikifanya kazi kama ilivyotarajiwa, speed mwendo wa kobe mpaka kero, au nyie wengine mnapendelewa?
Smile naujua ni hatari.... ila sijawahi watumia, wewe maxmum kwa voda unafika speed gani? Mi naishia 6mbps
Ubovu mm Modem yangu ni ya WEB UI hivo siwezi ona ile SPeed kwenye dashboard lkn nikidownload kitu kwa IDM inarange 500KB/s mpaka 1MB/s hivo waweza ona ilivyopoa hope inapita mpaka capacity ya modem... what a miracle?
Mkuu hiyo 4G ya nini wakati hata 3.5G hatuioni ikifanya kazi kama ilivyotarajiwa, speed mwendo wa kobe mpaka kero, au nyie wengine mnapendelewa?
Donn mie wiki hii yote kadashboard kanasoma hivi
nadownload movie mafaili makubwa makubwa yani sina tatizo
kawe kanasema uongo au kako sawa mie sina shida. niko happy na spidi wanayonipa hawa jamaa. naweza stream chochote. maspidi makubwa makubwa ya nn kwan nna internet cafe?
Msidhani hata mkiwa na Broadband speeds za 100MBPs basi mtadownload kwa hiyo speed hapana, Downloading something from the internet inategemea factors nyingi hapo sanasana download yako ya speed kabisa itaishia labda 10MBPs na hiyo ni from the fastest servers kama google, Server nyingi sababu ya kua na usersw engi wanalimit speed, hata uwe na speed ya juu dunia nzima unaeza ukaishia 4-5MBPs maana wakiachia wazi bandwidth yao watashindwa kulipa gharama, Afu bado ki gine ni speed ya Harddisk yako, HDD yako yenyewe haina uwezo wa iuwrite kwa 100MBPs utawezaje kudownload file kwa speed hiyo, huamini copy files from Local disk moja kwenda nyingine unambie kama inakimbia kwa speed hiyo...
Na kusema bongo hiyo speed kufika ati miaka 30 ijayo ni uongo mtupu, hiyo speed mwakani tu tunafikia. MWAKANI and i Mean it
Teh teh teh..... kweli we ulishazoea mwendo wa kobe.... yaani 11mbps umeridhikaa... ila bundle gani hiyo unayotamba nayo mpaka streamin?
Logic yako ni ya mtu aliyezaliwa na kukulia kwenye 4mbps. Jana tu jamaa ameshusha 98 mbs kwa 2secs, Mfano, yatosha.com ina 1gbps port speed, issue inabaki kwako na ISP waki tu
Teh teh teh..... kweli we ulishazoea mwendo wa kobe.... yaani 11mbps umeridhikaa... ila bundle gani hiyo unayotamba nayo mpaka streamin?