Speed hii tutafika kweli?

Donn

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,435
2,000
Katika harakati na pita pita na majadiliano katika forum flani ya US/UK nikakukana na hili
GlMVplG.jpg
[/quote]

Asilimia kubwa sana ya nchi zilizo endelea wana 100mbps/50mbps download/upload ambayo ni 100$ kwa mwezi unlimited bandwidth, nikakumbuka nyumbani, ISP wetu wanatupa speed max 6mbps/2mbps. Kwa kuangalia tu mabadiliko ya speed ya Internet yetu ni dhahiri kabisa 100mbps hatutaifikia kwa miaka 30+ ijayo.
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,717
2,000
Katika harakati na pita pita na majadiliano katika forum flani ya US/UK nikakukana na hili
GlMVplG.jpg

Mbona Smile ni 100Mbps useme bundle zao ni vidonda
Voacom wanakuja na 4G bila kuwasahau Tigo mbona tushafika au bado ujashtukia
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,756
2,000
ni just transformation ya siku chache tunafikia hio speed. ona 2g ina speed kama 25kBps wakati 3g hapa bongo ni zaidi ya mara 10 yake.

inamaana tukichange toka 3g kwenda 4g speed itaongezeka maradufu zaidi na kufikia hivyo
 
Stefano Mtangoo

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
5,310
2,000
nikakumbuka nyumbani, ISP wetu wanatupa speed max 6mbps/2mbps. Kwa kuangalia tu mabadiliko ya speed ya Internet yetu ni dhahiri kabisa 100mbps hatutaifikia kwa miaka 30+ ijayo.
Mpaka TCRA watakapokuwa serious kama Wasimamizi wa maslahi ya Tanzania tutaendelea kulia tu.

Kuna tetesi mtaani kuwa Airtel walipigwa mkwara na institution flani kuhusu kuwapa waTz bundles kubwa na hivyo, kulingana na tetesi hizo, kuondoa ushindani. Sina hakika na tetesi hizi kwa kuwa situmii Airtel but that is downtown story!
 
Last edited by a moderator:

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,756
2,000
Mpaka TCRA watakapokuwa serious kama Wasimamizi wa maslahi ya Tanzania tutaendelea kulia tu.

Kuna tetesi mtaani kuwa Airtel walipigwa mkwara na institution flani kuhusu kuwapa waTz bundles kubwa na hivyo, kulingana na tetesi hizo, kuondoa ushindani. Sina hakika na tetesi hizi kwa kuwa situmii Airtel but that is downtown story!

mi najiuliza kwanini kila mtandao umetoa ile bundle ya 1gb kwa siku. sababu sidhani kama wameamua tu ila kuna kitu TCRA wamefanya.
 
Last edited by a moderator:

Donn

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,435
2,000
ni just transformation ya siku chache tunafikia hio speed. ona 2g ina speed kama 25kBps wakati 3g hapa bongo ni zaidi ya mara 10 yake.

inamaana tukichange toka 3g kwenda 4g speed itaongezeka maradufu zaidi na kufikia hivyo

Chief, mimi nina 3G, na ninahakika hata nikiwa na 4G bado sitafika hata 30mbps
 
Donn

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,435
2,000
Mbona Smile ni 100Mbps useme bundle zao ni vidonda
Voacom wanakuja na 4G bila kuwasahau Tigo mbona tushafika au bado ujashtukia

Smile naujua ni hatari.... ila sijawahi watumia, wewe maxmum kwa voda unafika speed gani? Mi naishia 6mbps
 
Pancras Suday

JF-Expert Member
Jun 24, 2011
7,859
2,000
Mbona Smile ni 100Mbps useme bundle zao ni vidonda
Voacom wanakuja na 4G bila kuwasahau Tigo mbona tushafika au bado ujashtukia

Mkuu hiyo 4G ya nini wakati hata 3.5G hatuioni ikifanya kazi kama ilivyotarajiwa, speed mwendo wa kobe mpaka kero, au nyie wengine mnapendelewa?
 
Donn

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,435
2,000
Mkuu hiyo 4G ya nini wakati hata 3.5G hatuioni ikifanya kazi kama ilivyotarajiwa, speed mwendo wa kobe mpaka kero, au nyie wengine mnapendelewa?
Binafsi Naona hizi 3G na 4G tunazoambiwa ni porojo tu, walianza na habari za mkongo wa baharini... spidi mwendo wa kobe na nipo DSM. Yaani kwa kukiwa na 3G ndo walau naweza fika 3-4mbps so kwa makadirio tu, hiyo 4G inaweza kukufikisha 6mbps, na hizi bundle zilivyo ndogo ndogo ni kimeo.

Hii chini ni Quotation ya jamaa sasa hivi
"In Australia unmetered 1Gbps up/down costs ~$100/mo."
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,717
2,000
Smile naujua ni hatari.... ila sijawahi watumia, wewe maxmum kwa voda unafika speed gani? Mi naishia 6mbps

Ubovu mm Modem yangu ni ya WEB UI hivo siwezi ona ile SPeed kwenye dashboard lkn nikidownload kitu kwa IDM inarange 500KB/s mpaka 1MB/s hivo waweza ona ilivyopoa hope inapita mpaka capacity ya modem... what a miracle?
 
Donn

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,435
2,000
Ubovu mm Modem yangu ni ya WEB UI hivo siwezi ona ile SPeed kwenye dashboard lkn nikidownload kitu kwa IDM inarange 500KB/s mpaka 1MB/s hivo waweza ona ilivyopoa hope inapita mpaka capacity ya modem... what a miracle?

Dah, kama hvyo bado xana mkuu, mi nilikuwa nafika 1mbps kwenye IDM na kwenye dashboard ilikuwa ni 5-6mbps, jana nimempa jamaa job ndogo tu ya kudownload files na kuupload alichukua 2 seconds kushusha 98mb. Enzi za uhai wa PD ningeweza shusha hizo kwa dakika 6-8
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,717
2,000
Mkuu hiyo 4G ya nini wakati hata 3.5G hatuioni ikifanya kazi kama ilivyotarajiwa, speed mwendo wa kobe mpaka kero, au nyie wengine mnapendelewa?

Mkuu inategemea na Sehemu mfano kule Kibamba nimeambiwa SMILE hawafiki
Voda wako 3.75G sasa na nina ishuhudia ktk Tecno P5 ya mshikaji wangu sababu hiyo simu ina 21Mbps speed basi inaandika HSPA+(3.75G)
Observe mnara wa hii simu

jvzy.png
 
Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,955
2,000
Donn mie wiki hii yote kadashboard kanasoma hivi
1488021_469748173146724_1844792298_n.jpg

nadownload movie mafaili makubwa makubwa yani sina tatizo

kawe kanasema uongo au kako sawa mie sina shida. niko happy na spidi wanayonipa hawa jamaa. naweza stream chochote. maspidi makubwa makubwa ya nn kwan nna internet cafe?
 
Last edited by a moderator:

Donn

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,435
2,000
Donn mie wiki hii yote kadashboard kanasoma hivi
1488021_469748173146724_1844792298_n.jpg

nadownload movie mafaili makubwa makubwa yani sina tatizo

kawe kanasema uongo au kako sawa mie sina shida. niko happy na spidi wanayonipa hawa jamaa. naweza stream chochote. maspidi makubwa makubwa ya nn kwan nna internet cafe?

Teh teh teh..... kweli we ulishazoea mwendo wa kobe.... yaani 11mbps umeridhikaa... ila bundle gani hiyo unayotamba nayo mpaka streamin?
 
Last edited by a moderator:

NullPointer

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
3,465
2,000
Msidhani hata mkiwa na Broadband speeds za 100MBPs basi mtadownload kwa hiyo speed hapana, Downloading something from the internet inategemea factors nyingi hapo sanasana download yako ya speed kabisa itaishia labda 10MBPs na hiyo ni from the fastest servers kama google, Server nyingi sababu ya kua na usersw engi wanalimit speed, hata uwe na speed ya juu dunia nzima unaeza ukaishia 4-5MBPs maana wakiachia wazi bandwidth yao watashindwa kulipa gharama, Afu bado ki gine ni speed ya Harddisk yako, HDD yako yenyewe haina uwezo wa iuwrite kwa 100MBPs utawezaje kudownload file kwa speed hiyo, huamini copy files from Local disk moja kwenda nyingine unambie kama inakimbia kwa speed hiyo...
Na kusema bongo hiyo speed kufika ati miaka 30 ijayo ni uongo mtupu, hiyo speed mwakani tu tunafikia. MWAKANI and i Mean it
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,602
2,000
The fastest niliyowahi kuipata Tanzania ni average ya 4mb/sec kutoka voda, tena hiyo ilikuwa saa 11 alfajiri.

TCRA ni bomu tu, yamekaa pale kungoja posho na safari tu, hakuna zaidi.
 
Donn

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,435
2,000
Msidhani hata mkiwa na Broadband speeds za 100MBPs basi mtadownload kwa hiyo speed hapana, Downloading something from the internet inategemea factors nyingi hapo sanasana download yako ya speed kabisa itaishia labda 10MBPs na hiyo ni from the fastest servers kama google, Server nyingi sababu ya kua na usersw engi wanalimit speed, hata uwe na speed ya juu dunia nzima unaeza ukaishia 4-5MBPs maana wakiachia wazi bandwidth yao watashindwa kulipa gharama, Afu bado ki gine ni speed ya Harddisk yako, HDD yako yenyewe haina uwezo wa iuwrite kwa 100MBPs utawezaje kudownload file kwa speed hiyo, huamini copy files from Local disk moja kwenda nyingine unambie kama inakimbia kwa speed hiyo...
Na kusema bongo hiyo speed kufika ati miaka 30 ijayo ni uongo mtupu, hiyo speed mwakani tu tunafikia. MWAKANI and i Mean it

Logic yako ni ya mtu aliyezaliwa na kukulia kwenye 4mbps. Jana tu jamaa ameshusha 98 mbs kwa 2secs, Mfano, yatosha.com ina 1gbps port speed, issue inabaki kwako na ISP waki tu
 
Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,955
2,000
Teh teh teh..... kweli we ulishazoea mwendo wa kobe.... yaani 11mbps umeridhikaa... ila bundle gani hiyo unayotamba nayo mpaka streamin?

we unacheka spidi yangu unasema kobe. na wale 17Kbps wasemeje jamani. mie siku izi nazeeka sina mambo meengi zaidi ya movies na youtube pale nnapohitaji... kwa kifupi naweza hata ku upload site yangu ikiwa na ukubwa wa 1Gb sina tatizo kabisaaa. kwanza niambie unataka 100Mbps za nini?
 
Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,955
2,000
Logic yako ni ya mtu aliyezaliwa na kukulia kwenye 4mbps. Jana tu jamaa ameshusha 98 mbs kwa 2secs, Mfano, yatosha.com ina 1gbps port speed, issue inabaki kwako na ISP waki tu

unajifyagilia afu mi nakuangalia tu mkuu...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom