donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Hivi ni mtandao upi upo vzr kwa upande wa 4G kama upo kwenye coverage?dah bado mpo huko? mimi siku hizi chini ya 20mbps naona kama ipo slow, 4G ndio mpango mzima kama upo kwenye coverage
unaotumia band 1800 mara nyingi, ambao ni Vodacom na Ttcl kwa Tanzania.Hivi ni mtandao upi upo vzr kwa upande wa 4G kama upo kwenye coverage?
Tatizo chief coverage ya 4g sio maeneo yote ya towndah bado mpo huko? mimi siku hizi chini ya 20mbps naona kama ipo slow, 4G ndio mpango mzima kama upo kwenye coverage
unaotumia band 1800 mara nyingi, ambao ni Vodacom na Ttcl kwa Tanzania.
ukitaka coverage nenda 800 kwa Tigo.
Mkuu unafahamu mtandao wowote unaotoa package nzuri ambayo ni truly unlimited per month? Najua Smart na Smile ukifika 50GB speed inashuka hadi KBPs. Natafuta truly unlimited and fast ambayo mtu anaweza kustream mfano netflix bila shida.
acha wewe hiyo ni 3G? tena ya voda? mmmmh!Mmh! Mbona io speed ni ya kawaida sana! Mimi sehemu nilipo voda inapiga mpaka 8Mb/sec na minimum speed ni 3Mb/sec kwa 3G tu,,,, Voda ni hatari!!
Yap! Ya voda hii mkuu ndio... Sehemu nilipo vodacom ndio inakimbiza kuliko hata halotel na coverage ya voda iko kubwa sana hapa.....acha wewe hiyo ni 3G? tena ya voda? mmmmh!
Wengi bado wanatumia USB modem za 7.2/14.4Mbpsdah bado mpo huko? mimi siku hizi chini ya 20mbps naona kama ipo slow, 4G ndio mpango mzima kama upo kwenye coverage
true na mitandao ya simu bado wanaziuza hali ya kuwa zinaweza sababisha mteja akadhani mtandao sio mzuri.Wengi bado wanatumia USB modem za 7.2/14.4Mbps
Mkuu ni kwneye device gani hapoView attachment 606901 Duh yani Upload speed yangu ndio Download speed yako, kweli Vodacom akisema ndio mtandao wenye Kasi zaidi hajakosea.
Alafu hiyo speed ya 4.25MB/s hapo juu ni kwa sababu nipo sehemu yenye coverage ambayo sio nzuri nikikaa home karibu na mnara ni shida!! Kwenye range ya 45-50mbps
Hiyo ni kwenye Samsung Galaxy lakini kwa kufanya test ya 3g ya VodacomMkuu ni kwneye device gani hapo