speech | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

speech

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mrlonely, May 21, 2009.

 1. m

  mrlonely Member

  #1
  May 21, 2009
  Joined: May 4, 2009
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vipi mamb je nawezaje ku download hutuba za rais kikwete?
   
 2. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Hata kama inawezekana ni za nini? Au unataka kukumbukia KASI, NGUVU NA ARI MPYA!
   
 3. M

  Msharika JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wewe acha kutuzuga hapa, unataka hotuba za kikwete za nini. Huo muda wa kusikiliza nenda kapalilie bustani utavuna mchicha kwa afya yako kwani ni pumba tu. Kama vile, majina ya wauza madawa ya kulevia ninayo, majina ya mafisadi ninayo na majina ya wakwepa kodi ninayo ila achukui hatua madhubuti kuwakabili. Shit. kafanye kazi nyingine tafadhali, ushauri wa bureeeeeeeee, ila sijakukataza kuzitafuta
   
Loading...