Speculations behind Kanumba's death | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Speculations behind Kanumba's death

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Jack Beur, Apr 10, 2012.

 1. J

  Jack Beur JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Hebu tufikirie kwa undani kuhusu sababu zinazoelezwa na madaktari kuhusu kilichosababisha kifo cha Kanumba,"Brain concusion", nijuavyo mimi Concusion ina madhara ambayo ni minor kama kupoteza fahamu kwa muda na siyo sudden death,labda kama ingekuwa" Brain contusion" ambapo ubongo unakuwa umeumizwa sana ambapo inahitajika force kubwa zaidi na tukumbuke anayedaiwa kumsukuma,Lulu hana nguvu nyingi kihivyo za kuweza kumsukuma mwanaume kama kanumba na kuweza kubamiza kichwa kwa force kubwa.
  Na ukiangalia mahali alipobamiza kichwa ni kwa chini kimo cha mtu aliyekuwa amechuchumaa siyo aliyesimama.
  People,lets think out the box,may be there was a third person.Nawasilisha
   
Loading...