Nimenunua ya voda, kwanza ni 3G na sio 4G
Imetengenezwa na kampuni inaitwa AZUMi na model ni L3K
Unatumia mfumo endeshi wa KaiOS kama simu za nokia feature phones mfano banana phone na zingine
Inatumia chip ya mediatek, sikumbuki vizuri ila ni 65xx
Basically ni simu ya tochi usitegemee chochote cha ajabu
Ina whatsapp na social network apps ambazo unaweza kuinstall na ku uninstall kutoka app store yao.
Kitu nilichopenda ni uwezo wa ku sync contacts kutoka google na Live
Spidi ni ya simu ya tochi
Hitimisho, inaenda sawa na gharama unayolipia, by the way, voda walinipa bando 4Gb, dakika nyingiii na sms kibao
Nadhani ya tigo nayo ni kutoka azumi ila ni version ya 3G