Nangose 1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,202
- 6,780
Wadau, kama kuna mtu yeyote humu mwenye specification ya hizi simu janja zinazouzwa na Tigo, almaarufu kama "Kitochi 4G" naomba aniwekee hapa.
Maana nimejaribu kugoogle sijafanikiwa. So nataka kujua uwezo wake kwa ujumla.
Nawasilisha.
Maana nimejaribu kugoogle sijafanikiwa. So nataka kujua uwezo wake kwa ujumla.
Nawasilisha.
Smart Guy, Ni simu za Kai os, aka firefox os za zamani, kama unataka simu serious achana nazo os yake ni nzito na haipo optimized kwenye hizo simu, browser yake pia haifai kwenye hizo simu, naona wametoa ucweb inasaidia kidogo ila still bado. Mfano kwenye simu yangu hata freebasics hawaitambui.
Kama unataka kutumia kama jina lake lilivyo kitochi na kuifanya iwe 4G modem sio mbaya inakubali vyote USB tethering na Wi-Fi hotspot,
Ukaaji chaji kama unaitumia kama kitochi kwa kuweka network edge na kuzima data inakaa na chaji siku kadhaa kama vitochi vyengine ila kama unatumia na 4G ama 3G na data ipo on inakaa na chaji kama smartphone nyingine inaweza hata isimalize siku matumizi yakiwa makubwa.
Uzuri wake ni operating system mpya hivyo kuna updates za mara kwa mara na mambo mapya yanaongezwa.