SPECIAL TO ALL MEN 🦍🦍

SPECIAL TO ALL MEN 🦍🦍

Koomson

Member
Joined
May 17, 2019
Posts
16
Reaction score
6
Mwanaumee kuwa katika mahusiano yamkini na dada Fulani uliyempenda then dada Yule anaanza mikato fulani sio kama kukupeleka peleka kama mbuzi Halafu jamaa zako wa kawaida hawakushauri chochote ......although wapo watakaosema wakati wa kutongoza hukuwa Nao but mwanaumee anapopotea lazima turekebishane👁👁
 
Kuwa makin unapotoa ushaur, wanaume wengi huwa wana tabia ya kuwaambia wachumba zao yoooote ambayo huwa wanashauriwa na rafiki zao... mwsho wa siku inaleta uadui.
Na hali hii hutokea mda wa mapumziko baada ya kale kamchezo.
 
I

Ooh 😎😎😋😋 Kweli Samson na Delilah
 
Kweli kabisa.
Dah! Kuna mmoja nilikuwa nikimshauri anamwambia demu wake. Alafu demu wake anakuja kunipongeza kwa kumpa ushauri mzuri rafiki yangu bila jamaa kujua. Sikuwa napenda akamweleze demu wake.

Kuna story nyingi za kuongea na mpenzi wako kabla ya kuwaongelea masela
Kuwa makin unapotoa ushaur, wanaume wengi huwa wana tabia ya kuwaambia wachumba zao yoooote ambayo huwa wanashauriwa na rafiki zao... mwsho wa siku inaleta uadui.
Na hali hii hutokea mda wa mapumziko baada ya kale kamchezo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom