SPECIAL THREADS: Post home screen (Mwonekano) wa simu za wana JF

Hazikuweza kufaulu lkn inaonesha jinsi gani walivyokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri na kuleta mapinduzi makubwa ktk ulimwengu wa teknolojia. Mchina hana hata OS yake mpaka sasa hata OS ya computer hana. Anasubiri watu waumize kichwa, yeye acopy tu.
Hiyo OS ya mchina, mtasema ameleta mapinduzi ktk ulimwengu wa teknolojia?
Mbona iPhone yupo na OS yake na hana mpango na android na kila siku anatoa simu mpya na kali.
Mchina ameshazoea vitu vya kucopy na hana uwezo wa kutengeneza OS yake. Hiyo android anaongeza ongeza baadhi ya vitu halafu anadanganya watu ametengeneza OS mpya.
Kuna kitu nataka nikwambie, ni kwamba katika ulimwengu huu kila mtu/nchi ina uwezo katika jambo fulani. Kwahiyo Wachina ni wazuri sana kutengeneza hardware kutokana na rasilimali walizonazo na ndio maana utaona kwa asilimia kubwa soko la simu nyingi zenye ubora na mvuto kwa watumiaji duniani zinatoka China. Huawei, Oneplus, Vivo, Xiaomi, Oppo, Lenovo, Meizu, Coolpad, ZTE, hizo zote zinachangia mauzo makubwa sana katika soko la simu duniani.
 
Wenye mahaba na mchina wanaumia sana.
Mchina hana kitu kipya kwenye mapinduzi ya teknolojia. Unaenda dukani kutafuta iPhone unakutana na takataka ya mchina yenye jina la iPhone ikiwa na chipset ya mediatek.
Ha ha ha
Unfortunaly, Chrome has stopped. Ukienda kununua flash drive, harddisk au memory card ndiyo utajua kuwa mchina anatakiwa kuchomwa moto mchana kweupe.
Achana na fake products, hizo zipo lakini wana bidhaa nzuri tu. Kwa mtu mjanja hawezi kununua bidhaa fake. Tuzungumze kuhusu real.
 

Attachments

  • Screenshot_20220609-151013_One UI Home.jpg
    Screenshot_20220609-151013_One UI Home.jpg
    672.3 KB · Views: 21
  • Screenshot_20220609-151027_One UI Home.jpg
    Screenshot_20220609-151027_One UI Home.jpg
    103.5 KB · Views: 17
Back
Top Bottom