Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Boss 40" HD LED TV

FREE DELIVERY IN DAR

WARRANTY 2 YEARS

0717016789 - CALL/Whatsapp
FB_IMG_1540027774838.jpeg
 
Heshima yenu wauzaji wa TV, kwa mwenye sony LED inch 43 7(sio smart); naomba bei nifanye maamuzi kabla ya j5 tafadhali
 
Habari wakuu, naiuza tv flat screen inch 24, ipo katika hali nzuri sana, (imenunuliwa miezi michache iliyopita).

Itakufaa sana kwa matumizi ya nyumbani kwako,

bei ni laki 2 fixed

Napatikana ubungo river side
 
Habari wakuu, naiuza tv flat screen inch 24, ipo katika hali nzuri sana, (imenunuliwa miezi michache iliyopita).

Itakufaa sana kwa matumizi ya nyumbani kwako,

bei ni laki 2 fixed

Napatikana ubungo river side

Ya kampuni gani?
 
Lg inch 43 samrt tv bei 1000000/=
Skyworth inch 55 smart tv UHD bei 1800000/=
Sony home theatre watt 1200
Model BDV-N9200w bei 2200000/=
Location kariakoo (uhuru)
Call 0629565168
PhotoGrid_1540200305029.jpg
IMG-20181022-WA0012.jpg
images-12.jpg
 
Sony bravia led inch 32 bei 400000/=
Evvoil led tv inch 32 bei 400000/=
Sony home theatre watt 1000
Model DZ 650...bei 550000/=
Location magomeni mapipa
Call 0629565168
IMG_20181022_154642_444.jpg
IMG_20181019_112428_243.jpg
IMG-20181022-WA0027.jpg
 
PINETECH 55 INCH SMART 4K

BEI : 1,375,000/=

UHD 4K
SCREEN PROTECTOR
ANDROID SYSTEM
2 Years Warranty
FREE 4GB USB
FREE DELIVERY

LOCATION : K/KOO
Jirani na Simba Sports Club

KWA MAWASILIANO:
WhatsApp / Message / Call
0717 016 789
PhotoGrid_1540228541011.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom