Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Duh, mkuu hua unanunua used? Ukiachana na samsung tunazo
Lg uhd 55" 1400000
Lg Nanocell 55" 1700000
Tcl Android 55" 1050000
Hisense frameless 55" 1100000
Mkuu una tv gani smart na latest 55" brand ambayo sio samsung na bei zake. Nimekosa imani na samsung huwa zinazingua na kufa zinaonyesha mirangi rangi mieusi bila sababu.
IMG_20201219_103801.jpeg
IMG_20201219_103747.jpeg
1608468325748.jpeg
IMG_20201114_153905.jpeg
IMG_20201125_085751.jpeg
 

Attachments

  • IMG_20201221_090335.jpeg
    IMG_20201221_090335.jpeg
    51.9 KB · Views: 4
UNIQUE AIR CARGO
TUMERUDI TENA
Tunasafirisha Mizigo Aina Zote kutoka China kuja Tanzania kwa Bei bafuu zaidi.
Tupo LIVINGSTONE/PEMBA STREET KARIAKOO DAR ES SALAAM.
WhatsApp & Calls
0714122948
KARIBU TUKUHUDUMIE. View attachment 1708914
Mnasafirisha kwa kilo au kwa tan
Vipi swala la uaminifu maana kipindi cha nyuma wateja walilizwa Sana, Kuna namna yeyote ya kumlinda mteja?
Vipi maswala ya custom clearance?
 
Duh, mkuu hua unanunua used? Ukiachana na samsung tunazo
Lg uhd 55" 1400000
Lg Nanocell 55" 1700000
Tcl Android 55" 1050000
Hisense frameless 55" 1100000View attachment 1707864View attachment 1707865View attachment 1707866View attachment 1707867View attachment 1707868
Mkuu hii tcl 55" jumla na gharama kusafirisha mpaka mwanza ni sh.ngapi?....na je kati ya TCL na HISENSE ipi ni brand nzuri?...hisense ya nchi gani ni nzuri kati ya china na south africa?...hizo hisense zako ni za wapi?
 
Tunasafirisha mizigo ya aina zote.
Tunafanya kazi kwa Uaminifu Mkubwa sana hatuna rekodi ya kutapeli mtu
Karibu ofisin kwetu Livingstone/pemba Jengo la Binslum Plaza
Maswala ya Clearance tunafanya wenyewe kila kitu wewe ni kupokea mzigo wako tu
Karibu UNIQUE AIR CARGO TUKUHUDUMIE
kaka naomba nije niwahudumie huduma ya internet ya zuku hapo ofisini kwenu!! ni 69,000 kwa mwezi..ili muwe huru kwa internet
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom