Enlightenment
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 1,321
- 3,286
Mkuu ninarudia tena kitu kina picha kali sana aiseeenikistaafu nitaagiza huko huko ulaya
Mkuu inaelekea umeielewa sana.
Kiukweli picture quality zake ni nzuri.
Mkuu ninarudia tena kitu kina picha kali sana aiseeenikistaafu nitaagiza huko huko ulaya
Jamaa mzigo umenifikia tena uko poa tu japo ni model tofauti na hiyo yako
Iko poa bro though ninatumia av ila naimani hdmi inapiga mzigo vizuri inaendana na uhalisia wa pesa nilionunua natizaam world cup apa
Shukran kiongozi kwa mrejeshoMkuu ninarudia tena kitu kina picha kali sana aiseeenikistaafu nitaagiza huko huko ulaya
Acha tufanye mrejesho sie wazee wa vitonga kitu bei rahisi tu.Shukran kiongozi kwa mrejesho
Mkuu samsung smart tv 32" double pocket usb unazo?Shukran kiongozi kwa mrejesho
Mkuu samsung smart tv 32" double pocket usb unazo?
Hizo ulzonazo bei znasimama ngp?Double pockets usb sina
Hizo ulzonazo bei znasimama ngp?
Duka lako liko maeneo gani?Samsung smart 32" 550000
Duka lako liko maeneo gani?
Zanzibar?Mtendeni
Zanzibar?
Mambo ya kodi vipiNdio
Upo dar eneo gani? Na 43 ni bei ganiLG LED FLAT TV 32 inches
Ipoo clean sanaaa
Price 380
Location Dar
Call 0653353233
Zipo piaa nchii 43 View attachment 1126144
Hizi zina kisimbusi cha ndani Mheshimiwa kama TCL na cost ya usafiri kwa Dar kiasi gani toka ze nji.Hiyo mkuu, model no ntakutumia kesho in shaa Allah mana kwa sasa nishafika homeView attachment 1113148
Mkuu hiyo yako ina kisimbusi cha ndani? FTAJamaa mzigo umenifikia tena uko poa tu japo ni model tofauti na hiyo yako
Hizi zina kisimbusi cha ndani Mheshimiwa kama TCL na cost ya usafiri kwa Dar kiasi gani toka ze nji.
TCL smart ya inch 32 na usafiri hadi Dar kiasi gani boss?Usafir pamoja na kodi 40000
TCL smart ya inch 32 na usafiri hadi Dar kiasi gani boss?