herzygovina mwangosi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 900
- 431
Imekuwa muda sasa,tukiwa na tamaa na shauku ya mabadiliko ya jimbo letu,tunahitaji mabadiloko ya kweli Njombe...muda mrefu tumekuwa tukiamka na kukicha tukiomba ujue uendeshe hili jimbo..tumekuwa tukikufahamu toka udogo wako na ushirika wako wakutatua matatizo ya wananjombe..sasa ni muda muafaka wananjombe tunakuomba utangaze nia kuwania Jimbo letu #NjombeKusini .
Bwana D.Msemwa,imekuwa mara kadhaa sasa tukikufata,ujasiri ulionao kusaidia njombe pasipokuwa mbunge,unatupapicha halisi yakuwa unastahili kiti hichi.
Naomba upokee maombi haya ya wananjombe kusini.
Asante,kwa niamba ya wananjombe kusini na wanabadiliko,tunaongalia maslahi ya jimbo na mtu mwenyewe kuleta mabadiliko.
Njombe Oyeee!