Smiling killer
JF-Expert Member
- May 1, 2018
- 1,290
- 1,126
Aliona huna jipya!!Huenda nyuma ya kuchoka kuna kilichomchosha!
Kwa sasa hawezi kukuambia kwa kuwa wewe sio rafiki yake tena!
Pole.
Aliona huna jipya!!Huenda nyuma ya kuchoka kuna kilichomchosha!
Kwa sasa hawezi kukuambia kwa kuwa wewe sio rafiki yake tena!
Pole.

wacha kubembeleza mapenzi.Haya maneno yamenisisimua sanaukiona kakuacha bila sababu ya maana, na kakutafutia sababu, wala usiumiee siku ipo huko alikokimbilia kuna siku ataachwa na atarudi kwako alishachelewa.
hakua ubavu wako, siku ukipata ubavu wako hatoweza kukuumiza amini maneno yangu. mungu ni wa ajabu hachelewi kujibu. kuna siku utatuletea hapa mrejesho.
Ngoja nije unipe kampani hahaSiku nyingine usikae bila spea mzee baba, akikuaga kwaheri wamjibu karibu tena unabeba spea yako......
Sasa kama huyo ndo alikua tegemeo atakuliza, masikini utalia kilio cha mbwa koko 😀
Pole ukijisikia upweke sana nicheki nikupe kampan ya kunywa hizo castle