Nathan Jr
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 1,445
- 1,890
- Thread starter
- #21
Dah ni hatariKuna kamanzi nilikuwa natoka nacho huwa mara nyingi alikuwa ananitishia kuniacha kidume nikajiongeza
Ikabidi wiki nzima niwe naye beneti Na ku act kwake as real gentleman
Loh!nilichomfanya baada ya kuona amekolea sana kwangu nikamtema
Nilimuumiza Sanaa yaan mpaka Leo anachukia wanaume lakini wadau nilifanya hivyo coz
Kipindi cha mwanzo alikuwa ananitishia kuniacha me kidume nikawa napima upepo tu

