Nathan Jr
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 1,445
- 1,890
Kama upo kwenye majonzi ya kuachwa tukutane hapa, na utwambie ulipoachwa bila sababu kitu cha kwanza ulifanya nini, na ulizoea hali hiyo baada ya muda gani?
Kwa kifupi mi nimeachwa jana, bila sababu ya msingi, kimoyo moyo nikajua kuna njemba litakuwa limembeba,
Ila tuwe wakweli kuachwa ni hatari sana,
Nipo nimebembeleza sana kakataa,
Nikaamua nikaushe nipo naandika uzi huu nikiwa bar nakunywa castle,
Je we umeachwa pia?
Naomba kuwa mwenyekiti wa CHAMA CHA WALIOACHWA TANZANIA (CCWT)