Special Thread: Usiku wa mahaba

sasa ni zamu yangu. Messenger nae ana haki ya kula... kiwatengu alinituma kwako, nikakupeleka, akakushindwa!!
Shame on you kiwatengu! Lol lol...
Ulishindwaje kumtawanya huyu mtoto mlaini laini hivi?
hahahah kumbe ni kweli ule usemi unaosema makuadi huwalaga mteja wao heheeheh...taratibu mme wangu asipaone hapa maana ndoa tamu jaman lol
 
Dah hii nimeipenda kwa kweli
 
Duuuuuh nataka kujua hawa watu umewamention au? Watapata notification??
Najuuuuutaaaaaa kukufahamu leo nitakosa bara na pwani

Hao watu ni majirani zetu niliwaita tu waje washeherekee hiyo good news pamoja nasi.
 
Mmmhh. Yaan kama vile naona halufu ya ujane.
Nitaachwa ujue
Bora uachwe tu maana nakutafuta kama sana....

Nimekumiss kama wakazi wa antarctica walivyolimiss jua...

Nakupenda kama neno penda lilivyo...

Dah....
 
Bora uachwe tu maana nakutafuta kama sana....

Nimekumiss kama wakazi wa antarctica walivyolimiss jua...

Nakupenda kama neno penda lilivyo...

Dah....

Lol kwa haya mashairi sijui nijilete mwenyewe...
 
Bora uachwe tu maana nakutafuta kama sana....

Nimekumiss kama wakazi wa antarctica walivyolimiss jua...

Nakupenda kama neno penda lilivyo...

Dah....

Jirani!!! Haya kila la kheri
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…