Kuomba msamaha ukiwa ushafaidi wala sio shida
We acha tuendelee tu kupetiana joto lako lipo juu sana
Halina uvumilivu tena,lazima lishushwe na wakulishusha ni mimi pekee
Come zisi weyi mai lavu
Unataka kukana hukuchepuka?
Nitoboeeee...???
Yanaendaje sasa kwa mfano?
Nimekusoma
Then thats good.
bae wtf...mbona sielewi wee na atoto nani anamsumbua mwenzio...nakupenda hivoo ujue acha kunitesa mume wangu
ulishaona simba kashiba nyama..!its impossible mzooee tu maana ndo tabia za wanaume hata umpe nini haez ridhika jaman khaa..dont worry nitadeal nae my diaBora umekuja unisaidie kuniondolea hili balaa!! Hivi huyu mumeo huwa unamtosheleza kweli mama? Maana naona kila siku anahangaika humu, alitoa warning watu wawe makini wasiguse wake za watu, ila sasa yeye ndio kutwaaa anahangaika na wake za wenzie hapa.
ulishaona simba kashiba nyama..!its impossible mzooee tu maana ndo tabia za wanaume hata umpe nini haez ridhika jaman khaa..dont worry nitadeal nae my dia
Yaani hata uwape mbuga nzima watamaliza ila bado hawataridhika, ila sasa huyu kazidi anafanyia hadharani kabisaaa hata hajifichi, akiona maji ya shingo ndio anakuita.
my dia atoto as i told u simba pia wanatofautiana tabia kuna wale ving'ang'anizi kama wangu ni kuna wale waelewa ila subiri niachie dawa yake inachemkaa
ulishaona simba kashiba nyama..!its impossible mzooee tu maana ndo tabia za wanaume hata umpe nini haez ridhika jaman khaa..dont worry nitadeal nae my dia
sasa tunafanyaje bhanaa!hahaha excel umenifanya nicheke hadi nimepaliwa...kibo10 kafunga pm afu kaficha funguo