Mweee nilipoona heading nikajua umefunguka juu ya mahaba uloyapata usiku, kumbe........
Haya ngoja waje watu na mahaba yao.
mimi ni kijana wa miaka 30 natafuta mchumba humu ndani awe mkristo.na tabia njema pia awe na umri usiozidi miaka 24.mimi ni lecture wa chuo kimoja hapa tz.pia ni muhaya naejua mapenzi hususani cta kwa cta c mnajua mambo ya katerero ni hayo tu.mwenye cfa anipm.asanteni
Hiyo id yako tu inaogopesha mwenzangu, usijekula jicho watoto wa wenzio.
usiogope myd ni jina tu hilo
Acha nitoe majicho mwenzio!! Au umekosea kukoti?? We naye ni dizain ya Eli79 tu so naogopa kuruka nkojo nikakanyaga nya.
mmmh!!!!!!!!! nawatakia mahaba mema, wacha nipite mbali mie