nisamehe bure jaman my valentina...umewaona ma-naturalista...!! mambo ng'aring'ariii
kisura huyu na low cut yake...kapendezaaa
Yani nimewatamania bure,zinavutiaje! Ngoja nikate hizi za dawa namie niwe natural
Yaani kapendeza wengine sijui tutafananaje tukiwa na low cut 😂😂😂😂😂
mi nimenyoa hivi..jaman hahaaa sema nna kajikomwee fulan ebu vuta picha nafananaje...khaaa nilichoka kusukaaa
mbano mzurii..na makeup on fleeek...contuor hiyo nimeielewa
hahaaaa ungenoga mii hivi nilishafanyaga sana kipindi cha nyuma nilikua nasukia weaving kwa mbeleUnajua vikomwe ni sehemu ya urembo ivoo sema tu isizidi najua tu umependeza
Me nlitaka kunyoa style kama hii ya nywele ndugu zangu wote hawakuni sapoti na wengine walisema nikiweka hiyo style nisiwasemeshe 😂😂😂 View attachment 283093
yes mtu anafanyiwa contuor anakua kama amekongoroka uso hahaa kumbee urembo...kila kitu kias too much is harmful valentina njoo uoneUmeona eeeh sio contour too much kama wale wanofanana na midoli
mi nimenyoa hivi..jaman hahaaa sema nna kajikomwee fulan ebu vuta picha nafananaje...khaaa nilichoka kusukaaa
Sasa imagen mie nna uso mrefu nkiwa na low cut itakuaje 🙈🙈🙈
muone na huyu fackina
Hii very nice pia ila rangi sijapenda napenda black au brown hair
Yaani kapendeza wengine sijui tutafananaje tukiwa na low cut 😂😂😂😂😂
farkhina uaiogope hemu Jaribu japo mara 1. Mi nashawahi kunyoa mara 2 Na kila alieniona akanisifu.mi nimenyoa hivi..jaman hahaaa sema nna kajikomwee fulan ebu vuta picha nafananaje...khaaa nilichoka kusukaaa