immortanity
JF-Expert Member
- Nov 8, 2024
- 859
- 1,583
Huu utakuwa uzi maalumu kwa ajili ya mashindano ya mabingwa ulaya (UEFA)
updates zote
updates zote
nishaacha soon na change ID nameCha kwanza acha kuuza bangi wewe drug dealer
sio kwa msimu huuTupo hapa tukisubiri Barcelona achukue uefa
psg 4 spurs 1
Me mtabiri tu kwani we unamtabiria nanisio kwa msimu huu
ArsenalMe mtabiri tu kwani we unamtabiria nani
Arsenal anachukua 😎😎Tupo hapa tukisubiri Barcelona achukue uefa
😂😂😂 Tupo pamoja 😂😂😂Arsenal
😂😂😂 Arsenal hii ya arteta....hili kombe akilikosa Barcelona Bayern au Chelsea wanachukua weka maneno yangu 😂😂😂Arsenal anachukua 😎😎
Hiyo hiyo arsenal ya Arteta inachukua 😁😁😂😂😂 Arsenal hii ya arteta....hili kombe akilikosa Barcelona Bayern au Chelsea wanachukua weka maneno yangu 😂😂😂
Psg vs Arsenal final alafu Gunners anachua😂😂😂 Arsenal hii ya arteta....hili kombe akilikosa Barcelona Bayern au Chelsea wanachukua weka maneno yangu 😂😂😂
Epl mnachukua msimu huu🤣🤣🤣Kwaiyo Sisi Manchester United Si Mngetuwekea Tu Hata Jukwaa La Carabao Cup ? Makombe Yapewe Thamani Ya Usawa.
London atakayeweza kupeleka kombe la uefa ni the bluezPsg vs Arsenal final alafu Gunners anachua