Miezi mitatu iliyopita ,nilivamiwa nikanyang'ganywa mkoba wenye vifaa vyote vya kazini pamoja na sim mbili .usumbufu niliopata ni mkubwa maana nilibeba dhamana za watu pia ! Niliumia katika harakati za kujitetea ,lakini niliumia nafsi zaidi kwa kupoteza vitu vyangu ,imenicoast sana kujibeba tena na mpaka sasa nashindwa kuanzisha thread humu maana hii cm niliyonayo siielewi elewi ...inaninyima raha ,nimebaki kuchangia mada !