Special thread; Tamthilia ya Siri za Familia Inayorushwa EATV

Kweli binadamu tunatofautiana,mi niliacha kufatilia hii tamthilia tangu msimu uliopita hainivutii kabisa saiv, sababu ni moja tu imechezwa kimjinimjini tu, inahusisha watanashati na watu wenye taswira ya kisomi na kufanikiwa na mambo safi,location zao zote ni za hadhi ya juu kabisa,visa wanajitahid,hawajataka kujisumbua wote wapo Dar wanamaliza kila kitu mjini!
cc.Sanctus Mtsimbe
 
cc.mtsimbe
Sidhani kama kuwa na mandari ya kimjini mjini ni tatizo. drama hujenga na mambo mengi sana ambayo inabidi yashabihiane na maudhui. mfano wahusika, setting na mabo mengine! je hivi vyote vinaenda na maudhui tarajiwa? kama maudhui yanahusu watu fulani hivi traditional halafu ikawa katika settinhg ya mjini tu hapo patakuwa na tatizo. anyway siri za familia wanajitahidi kama ni mapengufu ni machache sana ila sasa wapanue wigo waendew na setting nyingine pia.
 
Ndio maana nikasema tunatofautiana,mi hoja yangu ni moja tu mchanganyiko wa aina za watu na mandhari zao huleta mvuto kwa watazamaji!
 
Kweli binadamu tunatofautiana,mi niliacha kufatilia hii tamthilia tangu msimu uliopita hainivutii kabisa saiv, sababu ni moja tu imechezwa kimjinimjini tu, inahusisha watanashati na watu wenye taswira ya kisomi na kufanikiwa na mambo safi,location zao zote ni za hadhi ya juu kabisa,visa wanajitahid,hawajataka kujisumbua wote wapo Dar wanamaliza kila kitu mjini!
cc.Sanctus Mtsimbe

:):)
Kuna mhali hili tulilielezea kwa kina sana
 
Back
Top Bottom