July 31, 2017
Kigali, Rwanda
UCHAGUZI WA RWANDA 2017: Sera za wagombeaji na historia
Mwenyeji wa kipindi Sylvanus Karemera wa RTV/RBA amewakaribisha magwiji Isidore Gahamanyi na Tom Ndahiro kufanya uchambuzi na ufafanuzi kuelekea uchaguzi mkuu Agosti 4, 2017.
Source: RTV
Nini kilichofanya uchaguzi wa Rwanda kufanyika kwa ufanisi na amani miaka iliyopita chini ya utawala wa RPF. Na katika uchaguzi wa mwaka huu tarehe 3-4 Agosti 2017 RPF kuungwa mkono na vyama vinane kupambana na Democratic Green Party of Rwanda (DGPR) katika uchaguzi mkuu. Inakadiriwa wapiga kura kiasi cha milioni 6.8 watapiga kura ktk uchaguzi huo ikiwemo diaspora ambao watapiga kura Agosti 3, 2017.

- Mwaka 2003 uchaguzi wa kwanza baada ya mauaji ya kimbari dhini ya Watutsi 1994
- Kura ya maoni kwa ajili ya katiba mpya baada ya RPF (Rwandan Patriotic Front) kuchukua uongozi
- Baada ya uhuru toka kwa Ubelgiji vyama vilianzishwa kwa misingi ya ukabila
- Mapinduzi ya mwaka 1973
- Mwaka 1990 RPF (Rwandan Patriotic Front) kuanzisha vita kwa kuivamia Rwanda toka nchini Uganda.
- Mwalimu Julius Nyerere anaheshimika nchini Rwanda kwa maono yake juu ya wakoloni kuwagawa wanachi wa nchi za kiafrika kwa makabila na ukanda
- Diplomasia na Usalama eneo la Maziwa Makuu ya Afrika na mbali zaidi kimataifa.
- Miundo-mbinu ya barabara kuuganisha pande mbalimbali za nchi na usambazaji umeme
- Masuala ya kijamii Asilimia 90% ya WanyaRwanda wana bima ya matibabu, elimu kwa wote bila ubaguzi na mazingira mazuri wa kuvutia wawekezaji.
WANYARWANDA WAMKUMBUKA MWL. JULIUS NYERERE
Sherehe hizi za kumkumbuka Mwalimu nchini Rwanda zinaratibiwa na Jumuiya ya Urafiki baina ya Wanyarwanda na Watanzania – RWATAFA (Rwanda Tanzania Friendship Association). Kwa faida ya msomaji wa makala hii ni bora kutambua kwamba RWATAFA ina ndugu yake Tanzania, Jumuiya ya Urafiki baina ya Watanzania na Wanyarwanda –TARAFA (Tanzania Rwanda Friendship Association). Kwa pande zote mbili Jumuiya hizi za urafiki zimesajiliwa na kutambuliwa kisheria. Mwaka huu sherehe za kumkumbuka Mwalimu Nyerere zimefanyika kwenye Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Kigali-KIST kwa ibada nzuri ya misa iliyoongozwa na mapadri watatu walioishi Tanzania Soma zaidi :Karugendo Blog