The Retired Planner
Senior Member
- Sep 22, 2015
- 188
- 241
WanaJF,
Hii ni special kwa kuwatakia watu wako watatu wa karibu "special season greetings" kwa msimu huu wa MWAKA 2016 nakuwa ukumbusho wako kwa mengi ambayo Mungu amekuepushia wewe na hao watu wako wa karibu. Ni vzr ukawataja kwa nafasi zao kwako na "initials" za majina yao:
Mimi naanza;
Merry X-Mas & Happy New Year
Mke wangu Mpenzi - ACK
Mama yangu Mzazi - CKH
Baba yangu Mzazi - HKM
Nawasilisha,
TRP.