cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,326
Ndo unafanya hvo lakini atkeast kuna mda utahitaji a shoulder to cry utacjoka ZOA zoaKwani lazima niweke ndani mbona mpo sokoni na mnapishana bei tu
Ndo unafanya hvo lakini atkeast kuna mda utahitaji a shoulder to cry utacjoka ZOA zoaKwani lazima niweke ndani mbona mpo sokoni na mnapishana bei tu
Sasa bega la kulilia ndo wa aina yako?Ndo unafanya hvo lakini atkeast kuna mda utahitaji a shoulder to cry utacjoka ZOA zoa
AAA wapi makosa hayakwepeki duniani ukisema hivo utaishia pabaya two heads are better than oneSasa bega la kulilia ndo wa aina yako?
Ni bola kufa mwenyewe kuliko kuuliwa na mtu unae mhudimia.
Narudia tena ni bora kuishia pabaya kuliko vichwa viwili visivyo boraAAA wapi makosa hayakwepeki duniani ukisema hivo utaishia pabaya two heads are better than one
Vipo.vilivo bora kabisa vikivo dhamiria mioyoniNarudia tena ni bora kuishia pabaya kuliko vichwa viwili visivyo bora
Kama ntavibahatisha ndo vitanifaa hiviVipo.vilivo bora kabisa vikivo dhamiria mioyoni
Ndio u natafta perfect match ambayo mtaendana 80% muendeleze maisha ukikioenda kitu utakivumiliaKama ntavibahatisha ndo vitanifaa hivi
Sawa kabisa muhimu uchepukaji hautavumilika kamweNdio u natafta perfect match ambayo mtaendana 80% muendeleze maisha ukikioenda kitu utakivumilia
Shida sijamfuma nikamkuta yupo na jamaa ni sms only
wewe huyo manga ml anakupoteza anaonekana bado mtoto ht avatar yake inasomeka yupo 20-26! samehe..na ww kwann ukaacha txt ya shoga yake ? unadhan hakuumia? tena huyomke amekuheshm kweli kweli!
Kwahyo waife unaishije nae home, au anajikaza tu hata kukuangaliaNdicho nachofikiria hapa, yaani nitamrengesha anifume kabisa namkaza mke wake. Now napanga strategies za usalama wangu kwanza, maana sitaki ajue tu, nataka atukute kitandani kabisa. I want it to be a suicide mission.
Na hilo ndo la msingi wewe unachepuka ila hutaki mwenzako achepuke si ubinafsi, yani ukichepuka na wako HVO HVO watu wakitaka hayo yasitokee wawe waaminifu, sasa mleta mada anachepuka mkewe kamshtukia kachepuka hafu anaumia.Sawa kabisa muhimu uchepukaji hautavumilika kamwe
Ndio ila kuna namna ya kuchati na mtu ukizingatia mipaka yako so kila mtu uchati naye kama mpnz ilihali na ww unamume
Tayari umejua amegongwa mbaya zaidi yeye ndo kalipa hotel kuonyesha wewe ni zaidi ya mavi mabichi. pesa yako kamhonga kidume mwenzio dahShida sijamfuma nikamkuta yupo na jamaa ni sms only
Mm sikuwa nachati na shiga ake sema nilikuta txt kwa simu yake anatxt na mwanaume mwnginesasa why uchat na shogake?hukuhis hatari!
Sio kweli tathimini point yako na uzito wa mada mkuuTayari umejua amegongwa mbaya zaidi yeye ndo kalipa hotel kuonyesha wewe ni zaidi ya mavi mabichi. pesa yako kamhonga kidume mwenzio dah
Jiokoe wewe wenzio wanamla hadi tigo huyo
Mm sikuwa nachati na shiga ake sema nilikuta txt kwa simu yake anatxt na mwanaume mwngine
Tayari umejua amegongwa mbaya zaidi yeye ndo kalipa hotel kuonyesha wewe ni zaidi ya mavi mabichi. pesa yako kamhonga kidume mwenzio dah
Jiokoe wewe wenzio wanamla hadi tigo huyo