Special thread: Kwa wote ambao tumeshagongewa wake zetu

Mmmh pole sana braza, afu unakuta jamaa lilimlia dawa za kuongeza nguvu na hata malinda unakuta limekula,ila mke anauma aisee. Mi nadhani ikinifika jambo hilo nampiga chini tu wife maana maumivu nahisi hayaelezeki.

Lakini pia mwanamke kuchit ni process ndefu sana unlike sisi hata ukiona mfanya usafi job unaweza di.nda.
Unaongeza maumivu jamaa anaweza chinja mtu eti mke anauma
 
Ndicho nachofikiria hapa, yaani nitamrengesha anifume kabisa namkaza mke wake. Now napanga strategies za usalama wangu kwanza, maana sitaki ajue tu, nataka atukute kitandani kabisa. I want it to be a suicide mission.
Hapa naona kabisa unaelekea kupoteza marinda
 
Huo mda wa kutokujipa raha nakuhangaika na vtu vya ajabu sina mie wewe mwanaume unakuwa wapi?
Sawa kama umezoea kugawa,igawe maana ndivyo ulivyo wala sio kwa sababu ya mwanaume. Ulisemalo ndilo limekujaa moyoni.Gawa mama.
 
Unaweza ukawa fundi bila lukawa haumpi attention lazima akatafte wa kumbembeleza pia
yani ufundi namaana kila kitu kumpa attention mahanjumati makachumbari na zaidi tu full madikodiko..sasa na shuguli yenye sasa anaimba hadi kilugha..hapo vipi
 
Wanabodi, Mke anauma jamani.

Mwaka jana mwishoni pasipo na shaka yeyote nilijua Mke wangu anagongwa na fala flani hivi (Hapa sina hakika kama fala ni jamaa au Mimi niliyegongewa)
Nilimmind sana wife na kipigo juu, ila mwisho wa siku nilisamehe (Kwa kuwa mi mwenyewe ni mfuasi wa K za nje)
Nishamcheat Mke wangu zaidi ya Mara idadi kamili.
Tatizo ni kuwa nimeshindwa kabisa kusahau, nilijaribu kula mizigo ya nje ili tu nibalance lakini bado.

Jamani huwa mnafanyaje kusahau??

Hapa nimeshaanza preliminaries za maandalizi ya missions za kumla Mke wa jamaa aliyemla Mke wangu, tatizo jamaa yupo mkoa na nimeshachukua leave ya mwezi kazini. Nataka nilipe kisasi, kama hii haitasaidia itabidi nicheze mchezo nimle jamaa mwenyewe.

Au mnaonaje wadau???

Mke anauma jamani, anauma sio kitoto mjue.
Sasa ww ukiwa unaenda kumla mke wake na jamaa ndo utakutana na mabaunsa wana minyama kifuani wameshikilia ky watakusurubu na kukupeleka uwazi tuone vipicha vyako
 
Yaani mnagongewa wake zenu na mnapata ujasiri kabisa wa kuja kutangaza huku? Ama kweli! Process ya mkeo kugongwa huwa sio ya siku moja mjue. Sio kama sisi unaweza ukakutana na mzigo bank au popote, ukautamani, ukauomba na kwenda kupiga mashine na ukarudi home huku ukimpenda mkeo as if nothing happened. Mkeo akigongwa nje kwa sababu yoyote ile, ataendelea kugongwa tu na penzi lake kwao ndo linakuwa limeyoyoma hivyo.
Mkuu ID fake ndio sababu, ni wachache wanaonijua humu.
I just needed to talk to someone, to tell someone to release hili dude lililonikaba shingoni, lingeweza kuniua ati.
 
Back
Top Bottom