Special thread: Kwa wote ambao tumeshagongewa wake zetu

Mkuu unauvumilivu wa ajabu ila kilichokubebea huo uvumilivu nivile na wewe ni cheater mzuri so kidogo inatia woga kumuacha. Kwa mwanaume kama mimi ambae sijaonaga chupyi ya mwanamke mwingine tangu nioe ni vigumu kubaki na huyo mwanamke hata kwa nguvu ya kanisa polisi au mahakama.


safi saana!kumbe bado mnaexisist
 
Sio kweli tathimini point yako na uzito wa mada mkuu
Sio kweli alie lipa chumba nani?
Sio kweli unajua mke wamtu anavyo fanyiwa na mtu asie naghalama nae?

Amini nakwambia kwa zama hizi kidume kikijua tu huyu ni mke wa mtu na kamkubali lazima amle tigo

Jiokoe maradhi hayajawa sugu
 
Sio kweli alie lipa chumba nani?
Sio kweli unajua mke wamtu anavyo fanyiwa na mtu asie naghalama nae?

Amini nakwambia kwa zama hizi kidume kikijua tu huyu ni mke wa mtu na kamkubali lazima amle tigo

Jiokoe maradhi hayajawa sugu


hhehehhehkafie mbele na ww!hujielew wala hujitambui kazi kumuumiza tu mweznako! wanaofanyiwa hayo mauchafu 1 kat ya 10
 
Yani nimeshindwa kukuelewa, ulipogundua amekuchit ukampiga? wewe unapochit huwa unapigwa na nani? mana umekiri wewe ndo ulieanza tena kwa idadi ambayo hukumbuki, alafu yy kufanya hiyo mara moja tu unainua mkono kumpiga na kulipiza kisasi juu, hv akili yako iko sawa kweli? alafu naona wengine wanasema eti kulipiza kisasi tembea na marafiki zake, sijui majirani, mnaongea as if dunia hii imezungukwa na mashetani na si watu, hao marafiki wa mkeo wanaweza kukubali wewe kirahisi rahis hivyo, ni wa aina gani? unless uniambie ulizoa malaya ukaweka ndani kwahiyo marafiki zake nao ni malaya tu kama yeye hawachagui, lakini kama umeoa binti anaejiheshim hata hayo mawazo juu ya rafiki zake huwezi kuwa nayo, na hao majirani unaosema, cjui mtakuwa mnaishi mitaa gani nyinyi watu. Ni hivi kwa wanaume wote, kama wewe una cheat tena una cheat na mkeo anajua, ukaona yuko kimya anakuvumilia ukazani anavumilia bure, na yeye anayafanya hayo hayo unayoyafanya, usipande maharage ukategemea kuvuna kunde.
Some how nimekuelewa ns kukiamini ila sio wanaume wote wanaosalitiwa na wao ni wasaliti na vice versa.
 
Kulipa kisasi hakukupa nafuu zaidi unajiumiza, hafu ukichepuka jua na wako analiwa na wanjanja hyo ndo karma mkuu, ningekuwa mkeo ningekuuliza kama hujachepuka kamwe niguse, kuchepuka huwa nikubadilisha kiwanja, hilo kovu lakuchepukiwa maumivu yake utakufa nayo

Mimi sijiu mke wangu kaniroga siku hizi, nikiwaza kuchepuka tu basi huruma inanijia na kuanza ku calculate risk/hasara ya jambo husika na mwisho naamua kugahiri tu. Nimesha hairisha kwa wanawake wanne hivihivi
 
Kuchepuka ni tangu enzi za mababu hata uwe mjanja vipi siku ikifika unabambwa mi nilishuhudia gwiji akibambwa kiulaini tu bila chenga had kahama mtaa
Relax babygirl

How is your weekend??
Unaomboleza right!


Karibu hapa
 
Mimi sijiu mke wangu kaniroga siku hizi, nikiwaza kuchepuka tu basi huruma inanijia na kuanza ku calculate risk/hasara ya jambo husika na mwisho naamua kugahiri tu. Nimesha hairisha kwa wanawake wanne hivihivi
Mshukuru Mungu hata hujalogwa michepuko mingi huloga ndoa za watu zivunjike uharibikiwe tu bure ukianza utaona Amani itakavopotea
 
Kuna dogo anamla wife nimemjua na wife kasibitisha mwenyewe nimwambieani endeleeni zambi zenu wenyewe.
Kujipa pressure na jitu zima siwezi ..


Mkuu hii kitu si ya kawaida naona ukiikumbuka mpaka mwili unatetemeka unashindwa kuandika.

Mi nikithibitisha namuacha natafuta kibinti kizuri nijipoze machungu, sitaki shida!
 
Ku cheat hamnaga process kwetu wanawake huwa ni uamuzi tu, kutaka new style, either favor, tukijua unachepuka basi na sisi huanza kuwasha washwa ukikumbuka before marriage tulikuwa na mahusiano mengine, basi na wewe mume ukute hujua basi tuna anza kuhangaika kutafta fundi mzuri wa game
kumbe nikiwa full fundi hatachepuka...akiemda ataona kachafuliwa tu atarudi kutulia na kujuta si ndio...?
 
Huo ni msemo tu i dont buy it eti weak people revenge aiseeh acha niwe weak....coz sometimes revenge restores peace
Kisasi hakileti aman hata siku moja usichanganye kisasi na vita mkuu,kisasi kipo in chain lazima mmoja ajifanye mjinga ili kisasi kiishe, fanya utakavyofanya afu uturejeshee ukweli kama utapata hiyo aman unayotaka
 
maumivu ya kuchapiwa ni makubwa sana ndugu usiombe yatokee ilaikitokea na ukitaka isitokee tena ukimkuta mkeo anamegwa mwambie kwa upoleeee mama pole na kazi twende zetu nyumbani ukapumzike usimpige wala usimwache mpe story nyingi asahau kilichotokea nakuambia hatokaa arudie tena maishani tena hata wewe ukichepuka hataamini kama unachepuka mutaishi kwa amani teleeeee
Hawa viumbe usiwachukulir kirahisi hivyo mkuu mwingine ndo ataona amekukamata vizuri hauwez kufurukuta
 
Back
Top Bottom