Special thread: Kwa wote ambao tumeshagongewa wake zetu

Daaa wakuu minaona hapa ndo sehemu yake

Ebana asikuambia mtu maumivu ya mke yanafananaje ?

Binafsi hapa nilipo nimepata magonjwa ya vidonda ya tumbo(deudenal ulcers ) na depression

Pia sometime nafikwa na mawazo mpka na kosa usingizi naamua kujichoma sindano na kuneza madawa ya usingizi hii yote nikukosa usingizi sleepless madhara nayopata nikuwa nazidi kuwa adicted mils na vidonge huongezaka kiwango kila siku ndo nilale

Hii imeniaffect sana kiuchumi hata ki psychologia nakuwa naishi kwa wasiwasi sana

Yaan physically ndo uiseme nimekonda kweli siku hadi siku hii hutokana na kuwa kushindwa kusahau kisa na mkasa ulionifika

Nimeamin mwanaume hufa mapema

Chanzo nikuona tu sms ya jamaa anamtxt mke wangu

Jamaa:umechukua chumba wap ?

Mke :sehemu fulani

Jamaa : nakuja

Mke :toka hapa

Inakaa mda kama dakika 5

Mke anajibu

Mke:njoo

Wakuu hii imenikaa moyoni mda sasa

Najiuliza sipati majibu

Nyie wanawake mtauwa waumezenu

KUMBUKENI MWANAUME HATA KAMA ATACHEPUKA SI KWAMBA HAMPENDI MKEO AKIMALIZA HAJA YAKO HUMKUMBUKA NA KUTUBU KIMOYOMOYO
Hata yeye mkeo akichepuka sio kwamba hakupendi a natafta mkojozaji mzuri na yeye roho itulie sasa nyie mwachepuka huku roho nyepesi, sisi wanawake ni tofauti huwa tunazaa kwa uchungu na kusahau sembuse kuchepuka jomoni eeeeh.

Kikubwa Fanya mazoezi uchoke uwe unalala hata ka alienda nje sikarudi salama
 
Don't judge a book by it's cover eeeh usilolijua ni sawa na usiku wa Giza kwanza nikigawa najigawia Mimi au nagawa na kwa mwingine. Heeeh sorry wanaume huu Uzi nimesema ukweli unahusu wanawake wengi na sio matter ya kugawa sana, sisi wanawake huwa hatuzungumzi hovyo mahusiano ka nyie wanaume kuongea ndo mwaona urijali

Mkuu nisamehe kama nimekukwaza,unajuwa hayo maneno ulioyaandika,ikaniijia kama picha flani vile mke wangu ndio kanijibu vile,maana nae aliliwa ati kisa kulipa kisasi,kwakuwa aliona mesej ya mwanamke(rafiki/shoga)yake ktk simu yangu
Ati ndio akaamua kutembea nje ya ndoa
Aseeee,,!!yaani nilimpa kipondo takatifu kisha akafungasha mizigo,yupo kwao hadi wa leo
Hapa namalizia maandalizi tu,nioe mdogo wake kabxaa wa damu
Na kama Mbwai iwe Mbwai tu‍♂️
 
Hata yeye mkeo akichepuka sio kwamba hakupendi a natafta mkojozaji mzuri na yeye roho itulie sasa nyie mwachepuka huku roho nyepesi, sisi wanawake ni tofauti huwa tunazaa kwa uchungu na kusahau sembuse kuchepuka jomoni eeeeh.

Kikubwa Fanya mazoezi uchoke uwe unalala hata ka alienda nje sikarudi salama
Poa bhana
 
Yaani mnagongewa wake zenu na mnapata ujasiri kabisa wa kuja kutangaza huku? Ama kweli! Process ya mkeo kugongwa huwa sio ya siku moja mjue. Sio kama sisi unaweza ukakutana na mzigo bank au popote, ukautamani, ukauomba na kwenda kupiga mashine na ukarudi home huku ukimpenda mkeo as if nothing happened. Mkeo akigongwa nje kwa sababu yoyote ile, ataendelea kugongwa tu na penzi lake kwao ndo linakuwa limeyoyoma hivyo.
Ukweli mchungu huu dah wamama wakiamua kukuvulia chupi ujue mume keshakua mavi tu
 
Daaa wakuu minaona hapa ndo sehemu yake

Ebana asikuambia mtu maumivu ya mke yanafananaje ?

Binafsi hapa nilipo nimepata magonjwa ya vidonda ya tumbo(deudenal ulcers ) na depression

Pia sometime nafikwa na mawazo mpka na kosa usingizi naamua kujichoma sindano na kuneza madawa ya usingizi hii yote nikukosa usingizi sleepless madhara nayopata nikuwa nazidi kuwa adicted mils na vidonge huongezaka kiwango kila siku ndo nilale

Hii imeniaffect sana kiuchumi hata ki psychologia nakuwa naishi kwa wasiwasi sana

Yaan physically ndo uiseme nimekonda kweli siku hadi siku hii hutokana na kuwa kushindwa kusahau kisa na mkasa ulionifika

Nimeamin mwanaume hufa mapema

Chanzo nikuona tu sms ya jamaa anamtxt mke wangu

Jamaa:umechukua chumba wap ?

Mke :sehemu fulani

Jamaa : nakuja

Mke :toka hapa

Inakaa mda kama dakika 5

Mke anajibu

Mke:njoo

Wakuu hii imenikaa moyoni mda sasa

Najiuliza sipati majibu

Nyie wanawake mtauwa waumezenu

KUMBUKENI MWANAUME HATA KAMA ATACHEPUKA SI KWAMBA HAMPENDI MKEO AKIMALIZA HAJA YAKO HUMKUMBUKA NA KUTUBU KIMOYOMOYO
Ulichukua maamuzi gani?
 
Kiujumla nilimchukua mke wangu nikamkanya pia niliona nitulize mihemko wa hasira kwa sababu madhara yake yangekuwa makubwa sana

Niliona ni kosa la kwanza maana hata mtt akiunyea mkono huukati bali unaoshwa na kutumika tena tupilia mbali

Kosa si kosa kurudia kosa ndo kosa namsubiri kwenye 18

Huku nimeongeza mapenzi ya dhati kwake
Ulichukua maamuzi gani?
 
Mkuu nisamehe kama nimekukwaza,unajuwa hayo maneno ulioyaandika,ikaniijia kama picha flani vile mke wangu ndio kanijibu vile,maana nae aliliwa ati kisa kulipa kisasi,kwakuwa aliona mesej ya mwanamke(rafiki/shoga)yake ktk simu yangu
Ati ndio akaamua kutembea nje ya ndoa
Aseeee,,!!yaani nilimpa kipondo takatifu kisha akafungasha mizigo,yupo kwao hadi wa leo
Hapa namalizia maandalizi tu,nioe mdogo wake kabxaa wa damu
Na kama Mbwai iwe Mbwai tu‍♂️
Hahaaaaaa na hyo nayo ya mdogo wake itakufa tu bila namna ingawa unamuoa ila machungu hayatakaa yakutoke na huyo mdogo mtu atakuumiza tena ishakuwa ka laana kwako Mzee baba. Hafu yeye atasahau wewe mwanaume husahau mpaka kifo
 
Daaa wakuu minaona hapa ndo sehemu yake

Ebana asikuambia mtu maumivu ya mke yanafananaje ?

Binafsi hapa nilipo nimepata magonjwa ya vidonda ya tumbo(deudenal ulcers ) na depression

Pia sometime nafikwa na mawazo mpka na kosa usingizi naamua kujichoma sindano na kuneza madawa ya usingizi hii yote nikukosa usingizi sleepless madhara nayopata nikuwa nazidi kuwa adicted mils na vidonge huongezaka kiwango kila siku ndo nilale

Hii imeniaffect sana kiuchumi hata ki psychologia nakuwa naishi kwa wasiwasi sana

Yaan physically ndo uiseme nimekonda kweli siku hadi siku hii hutokana na kuwa kushindwa kusahau kisa na mkasa ulionifika

Nimeamin mwanaume hufa mapema

Chanzo nikuona tu sms ya jamaa anamtxt mke wangu

Jamaa:umechukua chumba wap ?

Mke :sehemu fulani

Jamaa : nakuja

Mke :toka hapa

Inakaa mda kama dakika 5

Mke anajibu

Mke:njoo

Wakuu hii imenikaa moyoni mda sasa

Najiuliza sipati majibu

Nyie wanawake mtauwa waumezenu

KUMBUKENI MWANAUME HATA KAMA ATACHEPUKA SI KWAMBA HAMPENDI MKEO AKIMALIZA HAJA YAKO HUMKUMBUKA NA KUTUBU KIMOYOMOYO

duh umeandika kwa hisia kali sana (pole)...mm ni mwanamke!narudia kusema ukikaa ukachunguza kwa umakin nyinyi ndo huwa vyannzo!yaan unamsahau mkeo,unamchukulia poa poa tu,kubet na wewe,match zote upo na wanaume wenzako!unarudi keshalala,ht dudu unampa kama hastahili,huogi usk unasmell mijasho, basi weekend 1 mpe out walau mkalale hotelin umttooooombbbbbeeeee weee hakuna!unajifanya upo busy tu na betting sites!
basi umpe ht vigift vya uongo na kweli hakuna!
yaan yy mitoko yake ni kwenye sherehe tu ndo mke anatoka!

my dear wanawake wa hvyo wamebaki wale ambao ht kuuza bagia hawawezi !wale huwa wavumilivu sana sana! na usipoangalia utakufa kweli umwache!hujachelewa angalia wapi umelegalega!

huu ndo ushauri wangu mm dadako manengelo
 
Sawa ila jua majukumu yanabana we unajua kazi inatafuna mda mkubwa sana kiasi kwamba uchomoke kidogo tu

Umetumbuliwa de same hata kwake sasa kwann hamchezi na mazingira ama kucheza na nyakati
 
Kiujumla nilimchukua mke wangu nikamkanya pia niliona nitulize mihemko wa hasira kwa sababu madhara yake yangekuwa makubwa sana

Niliona ni kosa la kwanza maana hata mtt akiunyea mkono huukati bali unaoshwa na kutumika tena tupilia mbali

Kosa si kosa kurudia kosa ndo kosa namsubiri kwenye 18

Huku nimeongeza mapenzi ya dhati kwake
Hyo ndo best option umefanya umehandle wisely hyo matter wazembe wasio matured wangekwambia mwache, sasa ungeacha wa ngapi, hafu pia sio mtu akiteleza ndo anapenda no wanawake nasi humpenda mmoja huko kwingine huwa ni kuhangaika tu Ku have fun basi
 
Back
Top Bottom